Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nimeishia kucheka tu baada ya kukumbuka, ni kweli kabisa..Ccm huwa wanawakilishwa na Naibu Msajili wa vyama. Je, huyo naye hajahudhuria?
Subra huvuta heriMkutano haujaisha ndugu yangu, kuwa na subra.
Nyakati zimebadilika, acha kuishi enzi za MwendazakeIla wakamsikilize mdude na pambalu?
Ni kupoteza muda tu
Baraza kuu ndio mkutano mkuu wa chama, au?! Nilidhani ndio kama NEC ya CCM...Ccm huwa wanawakilishwa na Naibu Msajili wa vyama. Je, huyo naye hajahudhuria?
DahWamewakilishwa na ACT.
Hahahahaha 😝Wawakilishi wao huwa ni afisa vipenyo wanaingia na magwanda ya Chadema.
Afisa vipenyo ndo nani haoWawakilishi wao huwa ni afisa vipenyo wanaingia na magwanda ya Chadema.
Hawa ni bora kuliko Lusinde Kibajaji.Ila wakamsikilize mdude na pambalu?
Ni kupoteza muda tu
sikuiz subir inavuta bangi.Subra huvuta heri
Basi usingekuja kuuliza hapa kwa nn hawapoNyakati zimebadilika, acha kuishi enzi za Mwendazake
Hahaahaa Saaafi sana sanaHawa ni bora kuliko Lusinde Kibajaji.
Haahhaaasikuiz subir inavuta bangi.
Bora kwa kuwa walisema sabaya alikuwa anawabaka?Hawa ni bora kuliko Lusinde Kibajaji.
Relax, relax, relax, we are here to stay! RelaxBasi usingekuja kuuliza hapa kwa nn hawapo