hamumwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 754
- 664
Itakuwa sukuma GANG wamewazuia kama baadhi ya KUNGUNI wanavyo sema kila wakishindwa jamboNimejaribu kuangalia faster faster sijaiona sura yoyote ya Kijani. je CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA? Bado hawaamini kuwa Zama zinabadilika? Hawaamini kuwa Nanihiii hayupo?
Pichani ni baadhi ya Wawakilishi wa vyama vya siasa
View attachment 2220393