CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA?

Nimejaribu kuangalia faster faster sijaiona sura yoyote ya Kijani. je CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA? Bado hawaamini kuwa Zama zinabadilika? Hawaamini kuwa Nanihiii hayupo?

Pichani ni baadhi ya Wawakilishi wa vyama vya siasa

View attachment 2220393

Je. Wamealikwa? Je CHADEMA huwa wanaenda wakialikwa na hao CCM ?

It takes two to tangle.
 
Nimejaribu kuangalia faster faster sijaiona sura yoyote ya Kijani. je CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA? Bado hawaamini kuwa Zama zinabadilika? Hawaamini kuwa Nanihiii hayupo?

Pichani ni baadhi ya Wawakilishi wa vyama vya siasa

View attachment 2220393
Watasema wako busy,Sasa sijui hata Bashite yupo busy na nini.
 
Baraza kuu ndio mkutano mkuu wa chama, au?! Nilidhani ndio kama NEC ya CCM.

Tumekuwa na mazoea ya kualika vyama vingine kwenye mkutano mkuu pekee.

..Mbatia, Babu Duni, Hashim Rungwe,...wamehudhuria.

..Hakuna kiongozi wa Ccm aliyeonekana mpaka sasa.

..Je, ina maana Ccm hawakualikwa?

..Kwa upande mwingine Cdm nao huwa hawahudhurii mikutano ya Ccm.

USHAURI WANGU:

..Vyama vihudhurie mikutano ya vyama ambavyo wanaendana na kukubaliana kimsimamo na kisera.
 
Nauliza tena; kuna vikao vya baraza kuu ambavyo wageni toka vyama vingine walihudhuria hapo nyuma?

Nilizoea kuona kwenye mkutano mkuu.
 
Ila wakamsikilize mdude na pambalu?

Ni kupoteza muda tu
Kuokoa muda ni kusikiliza wabunge kama hawa
 
Nimejaribu kuangalia faster faster sijaiona sura yoyote ya Kijani. je CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA? Bado hawaamini kuwa Zama zinabadilika? Hawaamini kuwa Nanihiii hayupo?

Pichani ni baadhi ya Wawakilishi wa vyama vya siasa

View attachment 2220393
CCM iko bize na kuisimamia serikali imalize haraka miradi yote ya serikali ya AWAMU ya 5......

#Siempre CCM🙏
 
Back
Top Bottom