CCM wameshindwa kupeleka Mwakilishi kwenye Mkutano wa CHADEMA?

Itakuwa sukuma GANG wamewazuia kama baadhi ya KUNGUNI wanavyo sema kila wakishindwa jambo
 
Mkutano haujaisha ndugu yangu, kuwa na subra.
Sijui nikuweke fungu gani! Uzinduzi unahudhuliwa na waalikwa bila kujali chama, hata polisi wanaweza kualikwa. Mkutano ni kwa wajumbe wahusika tu hata kama ni mwanachama hauruhusiwi kama si mjumbe.
 
Walikaribishwa?
 
Hamuwapangii CCM cha kufanya na msiwafokee.

Nyinyi kwa nyinyi hamuaminiani hadi mnagawana sare usiku.

CCM wana kazi nyingi kuwatumikia wananchi wa Tanzania.

Msilazimishe URAFIKI wa KINAFIKI.
 
Hamuwapangii CCM cha kufanya na msiwafokee.

Nyinyi kwa nyinyi hamuaminiani hadi mnagawana sare usiku.

CCM wana kazi nyingi kuwatumikia wananchi wa Tanzania.

Msilazimishe URAFIKI wa KINAFIKI.
Relax utakufa kwa kihoro Bure, kunywa Maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…