pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hahaaaaaaaaaaa! unauliza samaki ferry😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamevikodi [emoji13][emoji13]
Mkuu Kuna NEC ya CCMSalaam Wakuu,
Sasa nimeanza kuelewa Usemi wa Freeman Mbowe(Mwenyekiti wa CHADEMA) aliposema Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ni Tawi la Chama cha Mapinduzi.
Hivi sasa CCM inafanya uchaguzi wa ndani nafasi mbalimbali. Nimeshangaa kuona wanatumia Karatasi na Masanduku ya kupigia kura ya NEC. Vifaa vya tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi wa CCM na ndani ya Ofisi za CCM. Kweli?
Viongozi Serikali wanaona sawa tu.
Demokrasia Tanzania ipo wap?
View attachment 2377621
Sanduku la NEC kwenye uchaguzi wa CCM
Kumbe Masanduku na Karatasi za kupigia kura za NEC vinapatikana kirahisi hivi? Asante sana Rais Samia na Taasisi yako ya Uraisi
Asante Tume ya Uchaguzi, asante Jeshi la Polisi, Asante Mahakama na wote Mnaohusika kwa Kuruhusu hili litokee ili Dunia ijue Tanzania ni Nchi ya namna gani kwenye maswala ya Vyama vingi.
NdioKwa hiyo hata CHADEMA wakivitaka watakodishiwa na NEC??!
Wa kukushughulikia😄Wenyewe wanakuambia ni kuwa sababu ni chama dola. Ukiwauliza hizo ofa za kuwa chama dola zipo kisheria? Ukihojiana nao inatakiwa yee mbali nao,hawakawii kutumia ushauri wa Dr Tuli
Umechelewa Sana kuelewa hiliSasa nimeanza kuelewa Usemi wa Freeman Mbowe(Mwenyekiti wa CHADEMA) aliposema Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ni Tawi la Chama cha Mapinduzi.
TUME YA UCHAGUZI ni Tume ya CCM ikiwa inasimamiwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ndio inakuwa TUME YA TAIFA ya UCHAGUZI na Wajumbe ni Wale waleSalaam Wakuu,
Sasa nimeanza kuelewa Usemi wa Freeman Mbowe(Mwenyekiti wa CHADEMA) aliposema Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ni Tawi la Chama cha Mapinduzi.
Hivi sasa CCM inafanya uchaguzi wa ndani nafasi mbalimbali. Nimeshangaa kuona wanatumia Karatasi na Masanduku ya kupigia kura ya NEC. Vifaa vya tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi wa CCM na ndani ya Ofisi za CCM. Kweli?
Viongozi Serikali wanaona sawa tu.
Demokrasia Tanzania ipo wap?
View attachment 2377621
Sanduku la NEC kwenye uchaguzi wa CCM
Kumbe Masanduku na Karatasi za kupigia kura za NEC vinapatikana kirahisi hivi? Asante sana Rais Samia na Taasisi yako ya Uraisi
Asante Tume ya Uchaguzi, asante Jeshi la Polisi, Asante Mahakama na wote Mnaohusika kwa Kuruhusu hili litokee ili Dunia ijue Tanzania ni Nchi ya namna gani kwenye maswala ya Vyama vingi.
Una macho lakini huoni.Kuna nembo hapo ya NEC?
We Chawa huwezi kuiona nembosababu umepewa kichwa Cha kufugia nywele tu.Kuna nembo hapo ya NEC?
Hivi huyu jecha bado hajafa tu?Kamuulize Jecha , Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ,aliyechukuwa form ya kugombea kiti cha uraisi kwa ticket ya CCM
Ukitazama kwa jicho la CCM huioni,mpaka wakurejeshee akili yakoKuna nembo hapo ya NEC?
Hivyo vifaa vinatunzwa na serikali ya ccm au serikali ya chadema?Kwa hiyo hata CHADEMA wakivitaka watakodishiwa na NEC??!
Kama gaidi alivyokamatwa?Iko Siku Mahera atakamatwa na kufungwa
hivi vifaa huwa vinakaa/vinabaki kwenye ofisi za kata baada ya uchaguzi , hakuna dhambi hapo ni kuchukua na kutumia tuSalaam Wakuu,