CCM wameufyata kwa Dr. Bashiru Ally au mama ndiyo haungwi mkono na ccm?

CCM wameufyata kwa Dr. Bashiru Ally au mama ndiyo haungwi mkono na ccm?

Kwahiyo mwenye pesa zaidi ndani ya ccm ni rais Samia?
PhD without financial muscles haitikisi chochote. Lowasa pamoja na kwamba hakuwa na PhD, lakini kwa kuwa alikuwa na utajiri aliweza kutikisa nchi.
 
PhD without financial muscles haitikisi chochote. Lowasa pamoja na kwamba hakuwa na PhD, lakini kwa kuwa alikuwa na utajiri aliweza kutikisa nchi.
Lisu ana hela? Mbona alimtikisa Magufuli na ccm yake mpk akataka kumuua?

Polepole ana hela? Mbona ameendesha shule ya mtandaoni ccm ikatikisika mkaamua kumuondoa nchini kijanja kwa kumpa ubalozi?

Tishio la kubwa kwenye siasa ni hoja na Dr. Bashiru ni tishio kwasabb ana hoja.
 
Napendaga siasa za CCM wakati wa ku handler wana chama wake makaidi wana walia timing, subiri litakalo mkuta hatakuja kufufuka kisiasa tena, ni suala la mda kwa sasa ukiliact unampa umarufu bure wakati wake utafika tu, atapewa adhabu yake stahiki, ccm ni wakatiri kwenye usaliti
Ccm hii hii? Membe yuko wapi?
 
Hiyo iliwezekana zamani wakati chama kina umoja na kina mtu anayeogopeka kama siyo kuheshimika. Lkn hv sasa kwa mgawanyiko uliopo haiwezekani.

Ndiyo maana mnaanza kuweka mambo ya timing. Tangu lini ccm imekuwa ikiwavizia wanachama wake kabla ya kuwachukulia hatua? Ukiona hivyo ujue kuna shida.
Huko zamani walikua wanashughulikia papohapo!?..toa mfano
 
Ndugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha mrithi wa Ndugai mama aliwashukuru wanaccm wa ngazi zote wakiongozwa na wenyeviti wa mikoa kwa kumpigania.

Hali imekuwa tofauti sana kwa Dr. Bashiru. Hatuoni matamshi ya kitaasisi, bali watu binafsi wanaosukumwa na ama kujipendekeza, njaa au chuki binafsi.

Hapa ndipo najiuliza kwann hali hii? Je:-
(a) CCM imemchoka mama?

(b) Dr. Bashiru Ally ana watu (kama mzee Mpili) kiasi cha kumtisha mama na chawa wake?

(c) Dr. Bashiru ni akili kubwa kiasi kwamba viongozi wa ccm wameufyata?
Wewe endelea kumsagia kunguni tu huyo Bashiru wako.

Bashiru na genge lake hawana nguvu yoyote ya kumtisha amiri jeshi wala CCM. Kwenye siasa hakuna formula ya kufuata katika kushughulika na matukio. Kila tukio linashughulikiwa kwa namna yake.

Kwa uovu na ulaghai wa serikali ya awamu ya tano ya akina Bashiru Mungu hawezi kuacha genge lao lirudi madarakani.
 
Ndugai alikua ni kiongozi mkubwa (Spika wa bunge) ambae kama yeye hapatani na Rais ina maana bunge halipatani na Rais! Na mnajua kinachoweza kutokea kama bunge halipatani na Rais. Ila Dr Bashiru yeye ni mbunge tuu tena wa kuteuliwa na hana uongozi wowote, hana jimbo analoliongoza wala hana ofisi anayoiongoza kwahyo Rais na CCM wameona haina haja kupoteza nguvu kwa mtu asie na makali
Kwamba Bashiru akiendelea tena watamuacha tu hivyo hivyo wasimzibe mdomo kama Polepole?
 
Kwamba Bashiru akiendelea tena watamuacha tu hivyo hivyo wasimzibe mdomo kama Polepole?
Bashiru Ally ana kundi kubwa nyuma yake. Genge hili lilimtuma Ndugai akatishwa akatishika. Sasa genge limemtuma Bashiru mkubwa wa ma-confidence. Amesema hatojiuzulu ng'o!
 
Ma PhD wenzake akina msukuma watamnyoosha tu. Subiri utashuhudia Kwa macho yako.
Msukuma ni mbwatukaji na mfuata upepo tu. Anachokisema leo kesho anakikana. Unakumbuka jinsi alivyokuwa akimponda Makamba bungeni enzi za jiwe?

Kama unakumbuka alikuwa chawa wa Lowasa lkn baadaye akamgeuka na kuanza kumtukana.
 
Kwamba Bashiru akiendelea tena watamuacha tu hivyo hivyo wasimzibe mdomo kama Polepole?
Yeye ni katibu mkuu mstaafu wakimuacha aendelee atatoboa pale chama inapopaziba. Hivyo watampeleka alipoenda Polepole
 
Wewe endelea kumsagia kunguni tu huyo Bashiru wako.

Bashiru na genge lake hawana nguvu yoyote ya kumtisha amiri jeshi wala CCM. Kwenye siasa hakuna formula ya kufuata katika kushughulika na matukio. Kila tukio linashughulikiwa kwa namna yake.

Kwa uovu na ulaghai wa serikali ya awamu ya tano ya akina Bashiru Mungu hawezi kuacha genge lao lirudi madarakani.
mungu gani aliyekuambia hivyo?
 
Fanya kazi ndugu yangu. Hii tabia ya kutaka mifarakano haina faida kwako wala kwa nchi. #Umoja wa kitaifa ndiyo silaha ya ushindi ktk kuleta maendeleo🙏🙏🙏
Siku yake Italian sijui kama atakujq kuyakumbukq haya yote
 
Back
Top Bottom