mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Duh !ana mafile machafu mno ya CCM kama akiamua kumwaga mbona inchi haitakalika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh !ana mafile machafu mno ya CCM kama akiamua kumwaga mbona inchi haitakalika.
Mnajuaje kama kaandika/kasema kwa ridhaa ya mama. Huenda mama kachoka na sifa za kujipendekeza. Lakini anajuwa fika kuwa sifa zote si za kweli bali za kujipendekeza. Nani alikuwa anatoa sifa kwa Magufuli kama Ndugai, lakini Maguyfuli kuondoka tu, Ndugai akawa kionpozi wa kupinga sera za Magufuli. UCHAWA KAZI.Napendaga siasa za CCM wakati wa ku handler wana chama wake makaidi wana walia timing, subiri litakalo mkuta hatakuja kufufuka kisiasa tena, ni suala la mda kwa sasa ukiliact unampa umarufu bure wakati wake utafika tu, atapewa adhabu yake stahiki, ccm ni wakatiri kwenye usaliti
Tusubiri tuone ! Muda utaongea !Ndugai alikua ni kiongozi mkubwa (Spika wa bunge) ambae kama yeye hapatani na Rais ina maana bunge halipatani na Rais! Na mnajua kinachoweza kutokea kama bunge halipatani na Rais. Ila Dr Bashiru yeye ni mbunge tuu tena wa kuteuliwa na hana uongozi wowote, hana jimbo analoliongoza wala hana ofisi anayoiongoza kwahyo Rais na CCM wameona haina haja kupoteza nguvu kwa mtu asie na makali
Ee bwana eeh! Kumbe ndiyo maana hata wale chawa kindakindaki wa mama hawajajitokeza??!!!ana mafile machafu mno ya CCM kama akiamua kumwaga mbona inchi haitakalika.
Wewe taahira hata hujui kwani upo dunianiTundu Lisu mwehu hajui anachopigania
1. Rais amejionea mwenyewe alipofanya ziara kwenye mikoa ya Manyara na Arusha hivi karibuni kwamba alichokiongea Dr Bashiru ni kweli tupu ijapokuwa kuna vikaragosi vya vyombo vya habari pamoja na mwenezi kumpamba sana kwamba kapokelewa na umati wa watu mpaka wanakanyagana wakigombea kumwona bila kujua walikuwa wanataka kujionea wenyewe ni nani huyo anayesifiwa sana wakati maisha yao yanakuwa duni kila kukichaNdugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha mrithi wa Ndugai mama aliwashukuru wanaccm wa ngazi zote wakiongozwa na wenyeviti wa mikoa kwa kumpigania.
Hali imekuwa tofauti sana kwa Dr. Bashiru. Hatuoni matamshi ya kitaasisi, bali watu binafsi wanaosukumwa na ama kujipendekeza, njaa au chuki binafsi.
Hapa ndipo najiuliza kwann hali hii? Je:-
(a) CCM imemchoka mama?
(b) Dr. Bashiru Ally ana watu (kama mzee Mpili) kiasi cha kumtisha mama na chawa wake?
(c) Dr. Bashiru ni akili kubwa kiasi kwamba viongozi wa ccm wameufyata?