CCM wameufyata kwa Dr. Bashiru Ally au mama ndiyo haungwi mkono na ccm?

Kwahiyo mwenye pesa zaidi ndani ya ccm ni rais Samia?
PhD without financial muscles haitikisi chochote. Lowasa pamoja na kwamba hakuwa na PhD, lakini kwa kuwa alikuwa na utajiri aliweza kutikisa nchi.
 
PhD without financial muscles haitikisi chochote. Lowasa pamoja na kwamba hakuwa na PhD, lakini kwa kuwa alikuwa na utajiri aliweza kutikisa nchi.
Lisu ana hela? Mbona alimtikisa Magufuli na ccm yake mpk akataka kumuua?

Polepole ana hela? Mbona ameendesha shule ya mtandaoni ccm ikatikisika mkaamua kumuondoa nchini kijanja kwa kumpa ubalozi?

Tishio la kubwa kwenye siasa ni hoja na Dr. Bashiru ni tishio kwasabb ana hoja.
 
Ccm hii hii? Membe yuko wapi?
 
Huko zamani walikua wanashughulikia papohapo!?..toa mfano
 
Wewe endelea kumsagia kunguni tu huyo Bashiru wako.

Bashiru na genge lake hawana nguvu yoyote ya kumtisha amiri jeshi wala CCM. Kwenye siasa hakuna formula ya kufuata katika kushughulika na matukio. Kila tukio linashughulikiwa kwa namna yake.

Kwa uovu na ulaghai wa serikali ya awamu ya tano ya akina Bashiru Mungu hawezi kuacha genge lao lirudi madarakani.
 
Kwamba Bashiru akiendelea tena watamuacha tu hivyo hivyo wasimzibe mdomo kama Polepole?
 
Kwamba Bashiru akiendelea tena watamuacha tu hivyo hivyo wasimzibe mdomo kama Polepole?
Bashiru Ally ana kundi kubwa nyuma yake. Genge hili lilimtuma Ndugai akatishwa akatishika. Sasa genge limemtuma Bashiru mkubwa wa ma-confidence. Amesema hatojiuzulu ng'o!
 
Ma PhD wenzake akina msukuma watamnyoosha tu. Subiri utashuhudia Kwa macho yako.
Msukuma ni mbwatukaji na mfuata upepo tu. Anachokisema leo kesho anakikana. Unakumbuka jinsi alivyokuwa akimponda Makamba bungeni enzi za jiwe?

Kama unakumbuka alikuwa chawa wa Lowasa lkn baadaye akamgeuka na kuanza kumtukana.
 
Kwamba Bashiru akiendelea tena watamuacha tu hivyo hivyo wasimzibe mdomo kama Polepole?
Yeye ni katibu mkuu mstaafu wakimuacha aendelee atatoboa pale chama inapopaziba. Hivyo watampeleka alipoenda Polepole
 
mungu gani aliyekuambia hivyo?
 
Fanya kazi ndugu yangu. Hii tabia ya kutaka mifarakano haina faida kwako wala kwa nchi. #Umoja wa kitaifa ndiyo silaha ya ushindi ktk kuleta maendeleo🙏🙏🙏
Siku yake Italian sijui kama atakujq kuyakumbukq haya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…