CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa.

CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja.

CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu wasioeleqa chochote kazi kisifia tu bila kujua wanasifia nini
 
CCM wamebadili katiba yao, na kuzalisha mtindo wa kihuni, wa kuongeza wajumbe wa kupiga kura za maoni kwenye ,shina,Tawi, Kata na Wilaya.
Ila ngazi ya Taifa imebaki kama ilivyo!
Ni nini tafsiri yake??...
 
Ni kitendo cha kifahari mmetutoa kimasmaso kwa jinsi uchaguzi ulivyofanyika japo kulikuwa na maumivu ya kukanyagana lakini hiyo si kitu ili mradi "rencociliation" ifanyike kuponya makovu. Vinginevyo mmefikia kiwango cha kimataifa mtaendelea kuwa chama dume na baba wa demokrasia. Wote mmeshinda!
 
Wanaccm wengi tutampigia kura lissu, Mungu mbariki rais wetu mtarajiwa.
 
Hongera sana Lissu na Mbowe kwa kuonesha demokrasia ya vyama vingi inavyopaswa kuwa. Mmeonesha kwa mifano dhahiri umahiri wenu. Kilichonifurahisha ni kuridhishwa na matokeo kulikooneshwa na Mbowe na wanachama wengine upande wake. Hakuna malalamiko wala giliba.

Lissu ameonesha ukomavu kwa kuendeleza urafiki wake na mzee wa CHAMA, Freeman Mbowe, urafiki huu ndio msingi wa CHADEMA mpya.

CHADEMA imekuwa imara zaidi kuliko ilivyokuwa jana. Safi makamanda wa demokrasia na hongereni saaaana!
 
Kila mtu kapenda, yaani hii nchi ingekua hivi tungekua mbali sana. Tatizo ni CCM.
 
Hongera sana Lissu na Mbowe kwa kuonesha demokrasia ya vyama vingi inavyopaswa kuwa. Mmeonesha kwa mifano dhahiri umahiri wenu. Kilichonifurahisha ni kuridhishwa na matokeo kulikooneshwa na Mbowe na wanachama wengine upande wake. Hakuna malalamiko wala giliba.

Lissu ameonesha ukomavu kwa kuendeleza urafiki wake na mzee wa CHAMA, Freeman Mbowe, urafiki huu ndio msingi wa CHADEMA mpya.

CHADEMA imekuwa imara zaidi kuliko ilivyokuwa jana. Safi makamanda wa demokrasia na hongereni saaaana!
Lissu alisema kuwa uhusiano wake na Mbowe sio mzuri. Usidanganyike na hizo tabasamu za jukwaani. Mbowe anakumbukka kila tusi, uongo na kebehi zilizoelekewa kwake na wapambe wa Lissu huku Lissu akinyamaza. Ukiwaangalia utadhani kuwa Mbowe ameshinda na sio Lissu. Mbowe anajua uzito wa mzigo aliotulishwa na wapiga kura. Lissu anajua amepoteza mtu muhimu kwake. Chadema mpya itabidi izoee kuishi bila Mbowe na watu wake. Sasa hivi ni zamu ya wakina Lissu, Heche, Lema, Clubhouse, Sativa, Mdude Nyalali, Msigwa na wengine. FAFO.

Amandla...
 
Back
Top Bottom