Kila mtu kapenda, yaani hii nchi ingekua hivi tungekua mbali sana. Tatizo ni CCM.Hongera sana Lissu na Mbowe kwa kuonesha demokrasia ya vyama vingi inavyopaswa kuwa. Mmeonesha kwa mifano dhahiri umahiri wenu. Kilichonifurahisha ni kuridhishwa na matokeo kulikooneshwa na Mbowe na wanachama wengine upande wake. Hakuna malalamiko wala giliba.
Lissu ameonesha ukomavu kwa kuendeleza urafiki wake na mzee wa CHAMA, Freeman Mbowe, urafiki huu ndio msingi wa CHADEMA mpya.
CHADEMA imekuwa imara zaidi kuliko ilivyokuwa jana. Safi makamanda wa demokrasia na hongereni saaaana!
Lissu alisema kuwa uhusiano wake na Mbowe sio mzuri. Usidanganyike na hizo tabasamu za jukwaani. Mbowe anakumbukka kila tusi, uongo na kebehi zilizoelekewa kwake na wapambe wa Lissu huku Lissu akinyamaza. Ukiwaangalia utadhani kuwa Mbowe ameshinda na sio Lissu. Mbowe anajua uzito wa mzigo aliotulishwa na wapiga kura. Lissu anajua amepoteza mtu muhimu kwake. Chadema mpya itabidi izoee kuishi bila Mbowe na watu wake. Sasa hivi ni zamu ya wakina Lissu, Heche, Lema, Clubhouse, Sativa, Mdude Nyalali, Msigwa na wengine. FAFO.Hongera sana Lissu na Mbowe kwa kuonesha demokrasia ya vyama vingi inavyopaswa kuwa. Mmeonesha kwa mifano dhahiri umahiri wenu. Kilichonifurahisha ni kuridhishwa na matokeo kulikooneshwa na Mbowe na wanachama wengine upande wake. Hakuna malalamiko wala giliba.
Lissu ameonesha ukomavu kwa kuendeleza urafiki wake na mzee wa CHAMA, Freeman Mbowe, urafiki huu ndio msingi wa CHADEMA mpya.
CHADEMA imekuwa imara zaidi kuliko ilivyokuwa jana. Safi makamanda wa demokrasia na hongereni saaaana!