maneno tofauti maana ni ile ile
Na jamaa kapokea na kupiga picha bila kusoma... Hao ndio PhD holders wetu..Inawezekana aliyeandaa hiyo fomu ni mwanajeshi. Alafu inakuaje fomu inaandaliwa na maneno pia hawajahakiki? Uku ni kukosa umakini ndiyo maana baadhi ya mikataba ilisainiwa hotelini.
Wako busy kufunika kwamba Mbowe alianguka kwa sababu alikuwa kalewa chakarii. Akili matopeWamechanganyikiwa
Wako busy kufunika kwamba Mbowe alianguka kwa sababu alikuwa kalewa chakarii. Akili matope
Sasa nyie watetezi wake mbona hamuweki hio ambayo hawajaedit? Matokeo yake mnakuja na maneno matupuUwongo huo wame edit
Usiwe na akili ndogo uwe unatafuta ukweli
Sasa nyie watetezi wake mbona hamuweki hio ambayo hawajaedit? Matokeo yake mnakuja na maneno matupu
Hivi hii fomu huwezi kuikati rufaa?Dawa ya mjinga ni kumwacha km alivyo
Ka Polepole kajinga sana, kamewadanganya hayo maneno ndiyo fasaha kabisa eti! Wanaomba kugombea uongozi kwenye jeshi la wananchi, polisi, magereza, uhamiaji, jeshi la zimamoto ba uokozi!! Sasa sijui watajigawaje kwenye vyombo vyote hivyo?Kuna tofauti fulani naiona kwenye bag lenye form ya kuomba ridhaa ya kuingia ikuru kupitia CCM.
Ya 2015 inasomeka "form za CCM za kuomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Ya 2020 inasomeka "form ya maombi ya kugombea uongozi katika vyombo vya dola "
Hii ya kuomba kugombea uongozi katika vyombo vya dola imekaaje wadau. Kwangu naona inaleta ukakasi kidogo.
Sisi wananchi ndio huamua kwa kupiga kura kumchagua raisi, wabunge na madiwani.
Hii ya kuomba kuongoza vyombo vya dola?
View attachment 1484944View attachment 1484945
Ccm hawajui wanafanya nini ni chama cha hovyo kabisa. Sijui kwanini kuna watu wapo humo.Kuna tofauti fulani naiona kwenye bag lenye form ya kuomba ridhaa ya kuingia ikuru kupitia CCM.
Ya 2015 inasomeka "form za CCM za kuomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Ya 2020 inasomeka "form ya maombi ya kugombea uongozi katika vyombo vya dola "
Hii ya kuomba kugombea uongozi katika vyombo vya dola imekaaje wadau. Kwangu naona inaleta ukakasi kidogo.
Sisi wananchi ndio huamua kwa kupiga kura kumchagua raisi, wabunge na madiwani.
Hii ya kuomba kuongoza vyombo vya dola?
View attachment 1484944View attachment 1484945
Hiyo ni editing bwana. Kwann mnapenda kukichafua chama chetu bila sababu.Kuna tofauti fulani naiona kwenye bag lenye form ya kuomba ridhaa ya kuingia ikuru kupitia CCM.
Ya 2015 inasomeka "form za CCM za kuomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Ya 2020 inasomeka "form ya maombi ya kugombea uongozi katika vyombo vya dola "
Hii ya kuomba kugombea uongozi katika vyombo vya dola imekaaje wadau. Kwangu naona inaleta ukakasi kidogo.
Sisi wananchi ndio huamua kwa kupiga kura kumchagua raisi, wabunge na madiwani.
Hii ya kuomba kuongoza vyombo vya dola?
View attachment 1484944View attachment 1484945
Usipotoshe hoja. Kwani imeandikwa sawa? Kama ni sawa, basi ni uji.....Chadema wana edit kujifurahisha
Mi nilichopenda kaelewa kwamba yale maneni sio sahihi ndo maana kasema wameedit.... nashukuru hapa hakusifu kwa mapambio kama kawaida yake ... kwa mara ya kwanza buku 7 hajakubali upumbavu wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa nyie watetezi wake mbona hamuweki hio ambayo hawajaedit? Matokeo yake mnakuja na maneno matupu
Chama kikishampitisha si anakuja kwa wananchi?Si ni mpaka kila mgombea apitishwe na chama chake kwanza hlf wanaenda kwa mtoa fomu ya uraisi sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]