Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

maneno tofauti maana ni ile ile

Ficha upumbavu mkuu, anagombea nafasi ile ile ya 2015! Kubali kuwa hili ni kosa la kiuandishi - huenda karatasi hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya nafasi za siri katika vyombo vya dola.

Tunafahamu Rais ni mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu. Ilitosha kuonesha anachukua form za kugombea uRais.
 
Inawezekana aliyeandaa hiyo fomu ni mwanajeshi. Alafu inakuaje fomu inaandaliwa na maneno pia hawajahakiki? Uku ni kukosa umakini ndiyo maana baadhi ya mikataba ilisainiwa hotelini.
Na jamaa kapokea na kupiga picha bila kusoma... Hao ndio PhD holders wetu..
 
Hio ishu inaonyesha CCM wanashida mahali,na hata huo umakini ambao Jiwe anajinasibu kuwa nao HANA.

Haiwezekani aandaliwe kitu kama hiki halafu apewe na akubali,Lakini hata hivyo imetuonyesha ni watu wa aina gani,na Mungu ameanza kuwaumbua
 
Kuna tofauti fulani naiona kwenye bag lenye form ya kuomba ridhaa ya kuingia ikuru kupitia CCM.

Ya 2015 inasomeka "form za CCM za kuomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"

Ya 2020 inasomeka "form ya maombi ya kugombea uongozi katika vyombo vya dola "

Hii ya kuomba kugombea uongozi katika vyombo vya dola imekaaje wadau. Kwangu naona inaleta ukakasi kidogo.

Sisi wananchi ndio huamua kwa kupiga kura kumchagua raisi, wabunge na madiwani.

Hii ya kuomba kuongoza vyombo vya dola?

View attachment 1484944View attachment 1484945
Ka Polepole kajinga sana, kamewadanganya hayo maneno ndiyo fasaha kabisa eti! Wanaomba kugombea uongozi kwenye jeshi la wananchi, polisi, magereza, uhamiaji, jeshi la zimamoto ba uokozi!! Sasa sijui watajigawaje kwenye vyombo vyote hivyo?
 
Kuna tofauti fulani naiona kwenye bag lenye form ya kuomba ridhaa ya kuingia ikuru kupitia CCM.

Ya 2015 inasomeka "form za CCM za kuomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"

Ya 2020 inasomeka "form ya maombi ya kugombea uongozi katika vyombo vya dola "

Hii ya kuomba kugombea uongozi katika vyombo vya dola imekaaje wadau. Kwangu naona inaleta ukakasi kidogo.

Sisi wananchi ndio huamua kwa kupiga kura kumchagua raisi, wabunge na madiwani.

Hii ya kuomba kuongoza vyombo vya dola?

View attachment 1484944View attachment 1484945
Ccm hawajui wanafanya nini ni chama cha hovyo kabisa. Sijui kwanini kuna watu wapo humo.
 
Kuna tofauti fulani naiona kwenye bag lenye form ya kuomba ridhaa ya kuingia ikuru kupitia CCM.

Ya 2015 inasomeka "form za CCM za kuomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"

Ya 2020 inasomeka "form ya maombi ya kugombea uongozi katika vyombo vya dola "

Hii ya kuomba kugombea uongozi katika vyombo vya dola imekaaje wadau. Kwangu naona inaleta ukakasi kidogo.

Sisi wananchi ndio huamua kwa kupiga kura kumchagua raisi, wabunge na madiwani.

Hii ya kuomba kuongoza vyombo vya dola?

View attachment 1484944View attachment 1484945
Hiyo ni editing bwana. Kwann mnapenda kukichafua chama chetu bila sababu.
 
wanagombea kuongoza vyombo vya dola ili vyombo hivyo vifanye wanayotaka. Siku hizi hawagombei kuongoza nchi wala wananchi.. Ni vyombo vya dola tu. CCM Wakishinda, wananchi ni mjeredi na Mkongoto kwemda mbele wasiposikia au kutii maamuzi ya vyombo vya dola...
 
Sasa nyie watetezi wake mbona hamuweki hio ambayo hawajaedit? Matokeo yake mnakuja na maneno matupu
Mi nilichopenda kaelewa kwamba yale maneni sio sahihi ndo maana kasema wameedit.... nashukuru hapa hakusifu kwa mapambio kama kawaida yake ... kwa mara ya kwanza buku 7 hajakubali upumbavu wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukubwa siyo mwisho kujifunza, endelea kujifunza utaelewa maana ya dhana y
a dola na matawi yake (vyombo). CCM tunazo kanuni zinazotuongoza kwa wanachama wanaotaka kuchaguliwa au kuteuliwa na chama kwenda kufanya kazi ya uongozi ktk vyombo vya dola.
Kwa lugha nyingine kikanuni tuko sawa kabisa kusema
i) FOMU ya maombi ya kugombea uongozi ktk vyombo vya dola
AU
ii) FOMU ya kugombea Urais Zanzibar /Tanzania
Tofauti ni kwamba namba moja imeandikwa kwa ujumla zaidi maana haijataja hata nafasi ya uongozi ambayo inaenda kugombea mfano Urais, Ubunge au udiwani nk
Lakini namba mbili imekuwa mahsusi 'specific' zaidi, yaani imetaja nafasi ambayo inagombewa (nafasi ya uongozi na eneo) ili kupata nafasi ya uongozi husika ktk vyombo vya dola, kwa miaka mingi fomu za kugombea urais zilikuwa zikiandikwa hivi.
Kwahiyo zote ( i) na (ii) ziko sawa kikanuni, tatizo huenda tumezoea uandishi wa aina flani kwa miaka mingi kwahiyo uandishi ukibadilika kidogo wengine wanaona kuna ajenda flani na kuanza kupotosha, lakini kila kitu kiko sawa kabisa kikatiba na kikanuni.
Mwisho, nimegundua baadhi ya wengi wanaojaribu kupinga au kutoa tafsiri hasi hawajui maana ya DOLA, huenda kuna haja watu wajifunze nini maana ya dola, na wajifunze Chadema inaposema mkituchagua tukashika dola tutahakikisha wanafunzi wanasoma bure mpaka chuo kikuu au tutawaletea maendeleo huwa wanamaanisha nini, huenda wakijua hilo itawasaidia kujuua wanapinga nini.
Nitumie meseji Whatsapp inbox ili nikutumie nakala ya 'soft copy' ya Kanuni ya uteuzi wa wagombea uongozi ktk vyombo vya dola ili upate maarifa.
1592747884409.png

1592747884409.png
 
Back
Top Bottom