Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,311
- 4,689
Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu !
Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama
Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la kura haitakuja kutokea kuiondoa CCM!! Tutafuteni tu njia nyingine !!