Njia nyingine kama ipi mkuuNimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu !
Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama
Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la kura haitakuja kutokea kuiondoa CCM!! Tutafuteni tu njia nyingine !!
Njia za kuiondoa ccm ziko nyingi, wenye nchi hawako tayari bado.Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu !
Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama
Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la kura haitakuja kutokea kuiondoa CCM!! Tutafuteni tu njia nyingine !!
wewe umeacha kulipa kodi?Njia za kuiondoa ccm ziko nyingi, wenye nchi hawako tayari bado.
Bado wamelala
Mbali na mapinduzi,
Njia nyingine acha kulipa kodi(au bado una amini kulipa kodi ni uzalendo?)
Njia nyingine acha kutumi huduma au bidhaa za wanufaika wote wa ccm
Nilikwenda kununua laptop, kwa 1.2m bila kodi.wewe umeacha kulipa kodi?
Hata matamasha hayako hivyo hivyo ni VITUKO MITANDAONINimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu !
Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama
Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la kura haitakuja kutokea kuiondoa CCM!! Tutafuteni tu njia nyingine !!
internet pamoja na huduma za kifedha hutumii? Mafuta ya gari au piki piki hutumi? Umeme hutumi? Soda bia au maji ya chupa hutumi? Kama hivyo vyote hutumii basi umefanikiwa kukwepa kodiNilikwenda kununua laptop, kwa 1.2m bila kodi.
bei yake na kodi ni 1.4m.
Tupo mil 60, kwahiyo kila watu 6 watakua na trekta 1....niandae shamba sasa muda wa kutajirika kwenye kilimo.