Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndiyo zenu kwa kushupaza shingoNi nani aliyekudanganya Kuwa Hichilema ndo 'SI Unit' yaani wote wachukue anachosema....!
Muache ashupaze jishingo hivyohivyo.Mwisho atajijambia.CCM ndiyo zenu kwa kushupaza shingo
HAKUNA uhusiano wowote kati ya kushupaza shingo na kujambaMuache ashupaze jishingo hivyohivyo.Mwisho atajijambia.
Ni nani aliyekudanganya Kuwa Hichilema ndo 'SI Unit' yaani wote wachukue anachosema....!
Hayo ni Maoni Yake 'Za kuambiwa Changanya Na Zako Baba'
Acha Watu Walambe Asali...!
Sasa ivi Wote Wanalamba Wapinzani Na hao unaowasimanga...!
Wezi wa kura huwa wanachukia wasema Kweli!!Huyo Hichilema anaongea ukweli, na ameamua kuondoa ufahari wa viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi wa kura. Kinachomfanya huyo rais wa Zambia ajaimini na kukataa kuabudiwa, ni kwakuwa yuko madarakani kwa kura halali.