CCM wanajua wawekezaji wataikimbia nchi baada ya Vodacom kutangaza hasara iliyotokana na tozo?

Wamesema wameingiza mapato chini ya mkaradio yao haina maana wamepata hasara! Kupata hasara ni mpaka usome statement zao ya mwisho wa mwaka
Kutofikia malengo ndio hasara yenyewe kwa kampuni
 
When we make decisions especially that affects the economy of either individuals or investors in our Country, we must deeply involves the reliable economists to avoid reversing back the good moves/plans already taken by our lovely President Samia to push forward the development of our Nation.
 
Hivi nani aliwadanganya kuwa ccm wana uchungu na hii nchi?.....wangekuwa na uchungu wasingekuwa wanafanya mambo ya hovyo wanayoyafanya...mfano mdogo tu hebu angalieni jinsi zoezi la sensa hao ccm walivyolivurugaπŸ€”πŸ€”......zoezi likawa ni la kisiasa wakati ni ajenda za kimaendeleo....mambo ya hovyoo yanayofanywa na ccm ni mengi kuliko mazuri wanayoyafanya....na ili ule pesa ya ccm wewe jivishe ujuha na usiwe mtu wa kuhoji kila kitu hapo ccm utapewa majina kama yote kama kada mtiifu, mzalendo, komredi kipepe na mengineyo
 
Wanasema bora punda afe ila mzigo ufike ndiyo fisiemu hao
 
Nani anakagua balance sheets zao?

Kama wanakwepa kodi? Au wanataka kuwadhulumu share holders "DIVIDENDS"
Akitangaza faida ni mwekezaji, akitangaza hasara ni mwizi, kwa mentality hii bora tuendelee kuwasha mwenge tu
 
Wahamie Burundi kama vipi, au hiyo ni kwa wanyonge tu waliowaweka madarakani kwa kishindo?
 
Kwa kuongezea tu, zoezi la pili la sensa ya makazi walilotangaza limekamilika kwa 99% limefanyikia wapi? Lini? Kwa gharama zipi?
 
Hahaha hulipi TOZO wewe πŸ€£πŸ˜‚
I
Umeongea ukweli mtupu.

Ili ujihakikishie nafasi kwenye Serikali hii, siyo kwa kutenda Mema kwa nchi hii, bali ni kwa kujipendrkeza kwa wakubwa!πŸ₯Ί
 
Kuna kitu kimeanzishwa na hawa wawekezaji wetu Tanzania, wametengeneza mfumo wa mtandao wao , hawapeleki tena pesa bank wala kufanya miamala mikubwa mitandaoni.. Sasa wanatumia butter trade na mifumo yao isiyoingilina na ya kwetu kuhamisha pesa na kuziweka kwenye mitandao na bank zao
Hawatumiani pesa hata hapa nchini bali wanakutana na kupeana cash.. Biashara nyingi wanazifanya kwa pesa tasilimu

Serikali inakosa mapato makubwa sana kwenye hili.. Pengine intelligence inalifahamu hili
 
Apate hasara Voda afu muuza vifaa vya umeme akimbie biashara? Acha utaahira wewe.
 
MD wa Vodacom wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…