Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Labla nafanya miamala ya kinyonge 😂Hahaha wamekuonelea sana! Hahaha 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labla nafanya miamala ya kinyonge 😂Hahaha wamekuonelea sana! Hahaha 🤣
Kutofikia malengo ndio hasara yenyewe kwa kampuniWamesema wameingiza mapato chini ya mkaradio yao haina maana wamepata hasara! Kupata hasara ni mpaka usome statement zao ya mwisho wa mwaka
Hahaha hulipi TOZO wewe 🤣😂Labla nafanya miamala ya kinyonge 😂
Akitangaza faida ni mwekezaji, akitangaza hasara ni mwizi, kwa mentality hii bora tuendelee kuwasha mwenge tuNani anakagua balance sheets zao?
Kama wanakwepa kodi? Au wanataka kuwadhulumu share holders "DIVIDENDS"
Kwa kuongezea tu, zoezi la pili la sensa ya makazi walilotangaza limekamilika kwa 99% limefanyikia wapi? Lini? Kwa gharama zipi?Hivi nani aliwadanganya kuwa ccm wana uchungu na hii nchi?.....wangekuwa na uchungu wasingekuwa wanafanya mambo ya hovyo wanayoyafanya...mfano mdogo tu hebu angalieni jinsi zoezi la sensa hao ccm walivyolivuruga🤔🤔......zoezi likawa ni la kisiasa wakati ni ajenda za kimaendeleo....mambo ya hovyoo yanayofanywa na ccm ni mengi kuliko mazuri wanayoyafanya....na ili ule pesa ya ccm wewe jivishe ujuha na usiwe mtu wa kuhoji kila kitu hapo ccm utapewa majina kama yote kama kada mtiifu, mzalendo, komredi kipepe na mengineyo
IHahaha hulipi TOZO wewe 🤣😂
Umeongea ukweli mtupu.Hivi nani aliwadanganya kuwa ccm wana uchungu na hii nchi?.....wangekuwa na uchungu wasingekuwa wanafanya mambo ya hovyo wanayoyafanya...mfano mdogo tu hebu angalieni jinsi zoezi la sensa hao ccm walivyolivuruga🤔🤔......zoezi likawa ni la kisiasa wakati ni ajenda za kimaendeleo....mambo ya hovyoo yanayofanywa na ccm ni mengi kuliko mazuri wanayoyafanya....na ili ule pesa ya ccm wewe jivishe ujuha na usiwe mtu wa kuhoji kila kitu hapo ccm utapewa majina kama yote kama kada mtiifu, mzalendo, komredi kipepe na mengineyo
Mambo ya mzee Slow-slow hayoHalafu tunaendelea kununua na kuwakoga watanzania na mavi-eite!🥺
Kuna kitu kimeanzishwa na hawa wawekezaji wetu Tanzania, wametengeneza mfumo wa mtandao wao , hawapeleki tena pesa bank wala kufanya miamala mikubwa mitandaoni.. Sasa wanatumia butter trade na mifumo yao isiyoingilina na ya kwetu kuhamisha pesa na kuziweka kwenye mitandao na bank zaoWote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi.
Hivi huyu Mwigulu Nchemba, anajua "impact" ya tangazo hilo kwa uchumi wa nchi hii??
Ni dhahiri kuwa hivi ninavyoandika "post" hii, wawekezaji kwa maelfu, aidha walioko nchini hivi sasa, au wale waliopanga kuja nchini kuwekeza, weshabadili mawazo na kuamua kutowekeza nchini kwetu.
Ninajaribu ku- imagine, hivi huyu Mwigulu Nchemba, ni kwanini ana roho ngumu kiasi hiki na hataki kujiuzuru, pamoja na kuwa yeye ndiye "source" ya janga hili la kuporomoka vibaya kwa uchumi wetu, kutokana na tozo zake za dhuluma, ambazo wananchi wamezipigia kelele Sana??
Huyu Mwigulu Nchemba, amefikia mahala anatudhihaki watanzania, eti asiyetaka kulipa tozo hizo ahamie nchi jirani ya Burundi!
Lakini hiki kiburi na jeuri anayoonyesha huyu Mwigulu Nchemba, inatokana na hii nchi kutokuwa na Katiba mpya ambayo itakuwa yenye kukidhi mfumo wa vyama vingi vya kisiasa, kwa kuwa yeye Mwigulu anajua hata kama Umma wa watanzania watapinga tozo hiyo, lakini wakati wa uchaguzi mkuu utakapofika, Tume ya uchaguzi, itamtangaza yeye, kuwa mshindi, kwa kuwa tu ni mgombea wa CCM!
Lakini angejua kuwa thamani ya sanduku la kura, asingefanya uamuzi wa hovyo kiasi hiki.
KWA hiyo ni muhimu sana kuliko kitu chochote Katika nchi hii kwa hivi sasa, Rasimu ya Jaji Warioba, ambayo ndiyo Katiba iliyotokana na maoni yetu wananchi, irudi mezani na ndiyo itakayokuwa mkombozi wa Maisha yetu watanzania
Mungu ibariki Tanzania.
gulu kachomoa betri ili anunue mjusi wa taifa avaeVodacom hawajapata hasara ila wanasema gulu aache ujinga anawashushia faida yao..
Mapato yamepungua. Sio kupata hasara.Mbona kwenye tangazo lao wamesema kuwa wamepata hasara ya Shs bilioni 103?
Apate hasara Voda afu muuza vifaa vya umeme akimbie biashara? Acha utaahira wewe.Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi.
Hivi huyu Mwigulu Nchemba, anajua "impact" ya tangazo hilo kwa uchumi wa nchi hii??
Ni dhahiri kuwa hivi ninavyoandika "post" hii, wawekezaji kwa maelfu, aidha walioko nchini hivi sasa, au wale waliopanga kuja nchini kuwekeza, weshabadili mawazo na kuamua kutowekeza nchini kwetu.
Ninajaribu ku- imagine, hivi huyu Mwigulu Nchemba, ni kwanini ana roho ngumu kiasi hiki na hataki kujiuzuru, pamoja na kuwa yeye ndiye "source" ya janga hili la kuporomoka vibaya kwa uchumi wetu, kutokana na tozo zake za dhuluma, ambazo wananchi wamezipigia kelele Sana??
Huyu Mwigulu Nchemba, amefikia mahala anatudhihaki watanzania, eti asiyetaka kulipa tozo hizo ahamie nchi jirani ya Burundi!
Lakini hiki kiburi na jeuri anayoonyesha huyu Mwigulu Nchemba, inatokana na hii nchi kutokuwa na Katiba mpya ambayo itakuwa yenye kukidhi mfumo wa vyama vingi vya kisiasa, kwa kuwa yeye Mwigulu anajua hata kama Umma wa watanzania watapinga tozo hiyo, lakini wakati wa uchaguzi mkuu utakapofika, Tume ya uchaguzi, itamtangaza yeye, kuwa mshindi, kwa kuwa tu ni mgombea wa CCM!
Lakini angejua thamani ya sanduku la kura, asingefanya uamuzi wa hovyo kiasi hiki.
KWA hiyo ni muhimu sana kuliko kitu chochote Katika nchi hii kwa hivi sasa, Rasimu ya Jaji Warioba, ambayo ndiyo Katiba iliyotokana na maoni yetu wananchi, irudi mezani na ndiyo itakayokuwa mkombozi wa Maisha yetu watanzania
Mungu ibariki Tanzania.
MD wa Vodacom wewe.Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi.