Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huu mchezo nilikuwa naukemea tangu enzi za Magufuli.
Hii leo ni zaidi ya mara 4 sherehe za kitaifa kughairishwa na viongozi kisha fedha kuamuru zipelekwe kwingineko. Rais hupatiwa kitabu chote cha bajeti kabla haijasomwa naye hutoa mapendekezo au amri zake. Kisha hurudi kwa wahusika.
Sasa huu mchezo wa kutafuta kiki za kisiasa kupitia kughairisha sherehe za kitaifa tushachoka
Ni mchezo wa kijima, wafanyiwe wajinga. Fedha ni za wananchi, mtu anataka kujiimarisha kisiasa kupitia fedha za wananchi kirahisi tu, hii tabia ikome.
Cheo cha chief treasure kisitumike vibaya. Mtu unasubiri siku 4 au tatu mbele unaghairisha sherehe.
Sasa gharama za maandalizi ya awali nani atalipia? Si hasara hii.