CCM wanampenda Slaa, angalia picha hii

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Nilikutana na huyu mwana sisi m akiwa katika mavazi yake ya chama chake lakini aliniambia wazi kwamba hampendi Kikwete bali anampenda Dr Slaa kwani alikuwa kavaa badge ya Chagua Slaa.
Hii ndio hali ilivyo nchi nzima.
CHAGUA DR SLAA CHAGUA CHADEMA 31.10.2010







 
na mm hiyo fulana ya ccm naitaka saana kwa ajiri ya mazoezi asubuhi..!
 
Tuhakikishe kila mgombea anavuna achopanda na dhuluma mwiko kwa sababu itahatarisha usalama wa taifa hili.
 
Hata mimi pia naitaka kwa ajili ya kupigia deki
 
Mimi naitaka kwa ajili ya kumbukumbu ya kizazi kijacho kuwa tulikuwa na zimwi litujualo karne hizi
 
Baada ya matokeo kutangazwa, uendelee kutuletea picha za namna hii. Hakuna kukikimbia mtu hapa :becky:
 
Baada ya matokeo kutangazwa, uendelee kutuletea picha za namna hii. Hakuna kukikimbia mtu hapa :becky:

wewe na akili yako ya kushikiwa unafikiria wizi tu ndio maana unafikiri kuna m2 ataibiwa kura mwaka huu .nyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
na mm hiyo fulana ya ccm naitaka saana kwa ajiri ya mazoezi asubuhi..!

kunamzee amegongwa na Gari mchana kweupe kwa sababu yakuvaa nguo hiyo huko Gongolamboto, Tunashukuru amepona. Kwahiyo nakushauli usivae mazoezini usijekufa bure ndugu yangu.
 
Hata mimi naitaka hiyo T-shirt kwa ajili ya kufutia gari yangu.
 
wewe na akili yako ya kushikiwa unafikiria wizi tu ndio maana unafikiri kuna m2 ataibiwa kura mwaka huu .nyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Achana naye huyo. Kwanza kazi yake ya kuvunja makundi hajaimaliza!!!
 
hiyo tisheti inafaa sana kulinia asali kule Sikonge
 
Ndugu yangu MF hawa wako wengi, wanavaa sare hata kubandika picha za wagombea wa ccm kwenye nyumba zao na hata magari lakini wanasema kura ni kwa Chadema.Nilimuuliza jirani yangu mbona amebandika picha za wagombea wa Ccm kwenye mlango wa nyumba yako? Alinijibu ' kuvaa kibandiko sio kuwa muislam'
 
Tshirt hizi zinatutia umaskini tu
 
Mwenye kuchukia achukie ila mimi naipenda CCM kwa uwongo wake na kumtokua na mtiririko wenye mantiki katika kampeni kwani wana ahidi mambo mia kwa wakati mmoja wakati miaka mitano ya kwanza walishindwa kutekeleza hata robo yake
 
October 31 2010 HATUDANGANYIKI, WATANZANIA SI MABWEGE TENA

ILA KUMBUKA KULINDA KURA YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…