Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya matokeo kutangazwa, uendelee kutuletea picha za namna hii. Hakuna kukikimbia mtu hapa :becky:
Nimefurahi sana kusikia kuwa Dk Slaa anakubalika sana huko vijijini Ifakara na Mgeta - Morogoro.
Ushindi kwa Dk Slaa ni 99%
Leo
Mi nalitaka kwa ajili ya kufutia miguu mlangoni kwangu
na mm hiyo fulana ya ccm naitaka saana kwa ajiri ya mazoezi asubuhi..!
Nilikutana na huyu mwana sisi m akiwa katika mavazi yake ya chama chake lakini aliniambia wazi kwamba hampendi Kikwete bali anampenda Dr Slaa kwani alikuwa kavaa badge ya Chagua Slaa.
Hii ndio hali ilivyo nchi nzima.
CHAGUA DR SLAA CHAGUA CHADEMA 31.10.2010
![]()
![]()
View attachment 14426View attachment 14427
Hata mimi pia naitaka kwa ajili ya kupigia deki
T- shirt ya CCM nikipewa ntampa mtunza nguruwe wangu.