CCM wanampenda Slaa, angalia picha hii

Nimefurahi sana kusikia kuwa Dk Slaa anakubalika sana huko vijijini Ifakara na Mgeta - Morogoro.

Ushindi kwa Dk Slaa ni 99%

Leo
 
Iyo tshirt laiti ningeipata walai ningeiweka kwa archive ili iwe kumbukumbu kwa kizazi kijacho kuwa tulikuwa na chama kilikuwa kinaitwa CCM chini ya Utawala wa JK Mrisho
 
Baada ya matokeo kutangazwa, uendelee kutuletea picha za namna hii. Hakuna kukikimbia mtu hapa :becky:

Mkuu una mawazo ya ki CCM. Sasa mtu atakimbia computer yake maana inataka kulipuka ama? Hakuna anayeweza kukimbia hapa, maana hapa ni JF na si Jangwani au Kirumba. Hatujakimbia toka 2006 tukimbie leo?Uzuri 'breaking news' za matokeo zitawekwa hapa hapa.
 
Nimefurahi sana kusikia kuwa Dk Slaa anakubalika sana huko vijijini Ifakara na Mgeta - Morogoro.

Ushindi kwa Dk Slaa ni 99%

Leo


Nilipokuwa vacation bongo, hii summer, nilifika ifakara, niliongea na wazee kadhaa akiwemo mjumbe wa nyumba kumi, alinihakikishia kuwa kura yake na watu wake kamwe haiendi CCM, akanichekesha zaidi akisema anajuta sana kwanini miaka yote hii alikubali kuweka bendera ya CCM kwenye nyumba yake ya udongo kwani ilichangia sana kuongeza uzito kwenye paa na kubomoa nyumba! Kule ubunge mteketa atapata kwasababu ya pesa zake lakini urais kura nyingi ni za chadema.
 
na mm hiyo fulana ya ccm naitaka saana kwa ajiri ya mazoezi asubuhi..!

Duh, angalau una moyo; mimi wakinipa tu naichoma moto, na niko tayari hata kuinunua ili nikidhi haja ya kuiteketeza kwa moto.
 
T- shirt ya CCM nikipewa ntampa mtunza nguruwe wangu.
 
Mimi nina uhakika wa rafiki zangu zaidi ya 40 ambao wote na mimi ni CCM lakini MWAKA HUU WA 2010, HATUDANGANYIKI NI DR. SLAA TU
 

Kithibitisho hicho hakitoshi! Inawezekana huyo aliyevaa hiyo t-shirt ni mwana-Chadema!
 
Ccm wampenda Slaa angalia picha hii<!-- google_ad_section_end -->
<!-- google_ad_section_start -->na mm hiyo fulana ya ccm naitaka saana kwa ajiri ya mazoezi asubuhi..!


safi sana. Njoo kwangu nitakupa pamoja na tracksuit ili ututangazie vizuri CCM yetu. Kwani unapopita njiani wakati wa mazoezi au ukiwa gym na umevaa hizo sare zetu ndio unatutangaza vizuri. Yaani unakuwa sawa na bango.
 
upupu, je tuna uhakika gani ni mwana CCM na si Mwana CHADEMA aliyevaa Tshirt kwa ajili ya propaganda tu?
 
me naitaka kutandikia sehem ya mbwa wangu kulala bandani kwake.
 
asa kama huu sio wehu, we njiwa ni maendeleo gani unayodumisha ndani ya ccm? hvi watu kama niny mnafanya hvyo mnavyofana kwa utashi wa akili zenu au mmelogwa? aukuna external forces?
 
T- shirt ya CCM nikipewa ntampa mtunza nguruwe wangu.

Mkuu mie ni mwanachadema na mpenda maendeleo lkn uliposema MTUNZA nguruwe kimeniuma sana maana unaonesha unyanyasaji unaomfanyia mtunza nguruwe wako kama sio mtu,ana haki pia ya kuipigia CHADEMA...Mheshimu ingawa ni mfanyakazi wako USIWE kama wanasisiemu wanavyotunyanyasa walalahoi...Tuko pamoja na sorry kama nimekuudhi mkuu,napenda kila mtu hasa walio chini yangu,wenye juu yangu wote hawanipendi kama CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…