Huyu chongoleani ni mpumbavu.kwa hiyo yale maoni ya rasim ya jaji warioba yalitolewa na watu wa india?
Wewe uliwaona hao watu waliotoa maoni?kwa hiyo yale maoni ya rasim ya jaji warioba yalitolewa na watu wa india?
umetumia kegezo gani kufikia jibu hili ndugu katibu? lini na wapi ulifanya sensa ya kuuliza watu wakakwambia hivyo?Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi
Kwani ni lazima uulizwe?Alituuliza lini kama tunahitaji tume huru na katiba mpya tukamwambia hatutaki? CCM iache tabia ya kuwa msemaji wa wananchi. Hii nchi tuachwe huru wananchi tuamue tunachotaka.
Ndio maana tukasema tunahitaji katiba mpya na serikali ilituulizaKwani ni lazima uulizwe?
Acha kuuliza maswali ya kipumbavu john.Wewe uliwaona hao watu waliotoa maoni?
Hivi hawa CCM mbona wanaongea upumbavu sana. Tangu lini wanasiasa sio wananchi?Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amehoji kama kuna siku wananchi wamewahi kubeba mabango wakidai katiba mpya?!
Kadhalika Chongollo amehoji Tume huru ya uchaguzi inamsaidia nini mwananchi wa kawaida hadi aidai?....