JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Unapiga tu lomoni yaani bila madhara.Wewe kumbe ni mpuuzi!
Subiri hivyo hivyo kwa matumaini ya kuzima mabadiliko yanayoendelea.
Ndio, Mbowe ni sehemu na yumo ndani ya mapambano ya kuleta mabadiliko hadi sasa, hata kama kuwemo kwake huko halikuwa lengo lake na chama chake tokea huko mwanzo. Wapenda haki watamtumia kama mmoja wa viongozi wanaotafuta haki ndani ya nchi yetu.
Watu kama wewe mliolaza akili, msioona chochote kuhusu manyanyaso wanayofanyiwa watu kwa sababu mnafaidika na unyanyasaji huo, huwezi kuona na hata ukiona huwezi kuamini kwamba nchi yetu Tanzania tayari tunaekekea kwenye ukombozi toka kwa mkoloni mweusi chini ya CCM.
Subiri, utakapotikiswa ndipo utajuwa tayari ukombozi wa nchi yetu umekwishaanza na unaendelea, hakuna wa kuuzuia tena.
" we mpuuzi, subiri mabadiliko, subiri ukombozi umeanza", Lomoni za kutosha yaani.