CCM: Wananchi hawajawahi kudai Katiba mpya bali hilo ni takwa la wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

Wananchi hawaitaji katiba mpya maana hata hii ya sasa hawana uelewa wa kutosha ,hauwezi kuleta kipya wakati cha zamani hakieleweki
 
Wananchi wapi waliomba ndege na serikali kuhamia Dodoma?
 
kweli chama kikuu kinaendelea kudondoka
 
Alituuliza lini kama tunahitaji tume huru na katiba mpya tukamwambia hatutaki? CCM iache tabia ya kuwa msemaji wa wananchi. Hii nchi tuachwe huru wananchi tuamue tunachotaka.
Mbona kwenye campaign hakuna raia hata mmoja alidai kwanini ilani haina katiba? Au raia wanapatikana wapi?
 
Swali zuri Sana hili. Chadema na wafuasi wao siyo wananchi? CCM imejaa wajinga kwa kweli.
Amesema raia wa kawaida...Kuna raia wa makundi mbalimbali, wanasiasa,wafanyakazi, wasomi etc...Kama kudai mishahara huwa raia wanadai? Acheni upotoshaji...Fanyeni siasa raia wawaamini kwanza, wakishawaamini hamuhitaji katiba wao wenyewe watawapa nchi na mtaandika hiyo katiba kama ndiyo objective ya chama chenu
 
yaani hawa wapuuzi wameitisha press ili waulizwe maswali? hizi dharau kama za mama yao jumong
 
Wewe akili zako zimejifungia chooni. Huoni correlation yoyote kati ya siasa na maendeleo ya nchi. Wewe kwako siasa na uongozi hazina maana yoyote kwenye maendeleo ya nchi. Kama umeishia darasa la pili nitakusamehe. Na kama umeishia darasa la saba nitakusamehe kidogo. Ila kama una elimu angalao ya form four basi una tatizo kubwa mno.
 
Reactions: BAK
Kabisa kabisa unaamini kikwelii ulichoandika hapa? Kama ni hivyo, hakika wewe ni miongoni mwa wengi wenye raha ya milele.
 
CHADEMA wanataka katiba mpya yenye mfumo wa serikali 3 wakiamini kuwa katika hao maraisi 3 wanaweza kupata kiti kimoja kwa mslahi yao

Lakini hakuna mwananchi wa kawaida anaetaka katiba mpya yenye serikali 3 maana huo mzigo wa kuendesha hizo serikali 3 wataubeba wananchi

Kwa hiyo ni kweli wanaotaka serikali 3 ni CHADEMA kwa maslahi ya matumbo yao wala si wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa kabisa unaamini kikwelii ulichoandika hapa? Kama ni hivyo, hakika wewe ni miongoni mwa wengi wenye raha ya milele.
Tatizo lenu nyie kwa uchache wenu mkishaijua katiba hamtumii muda wenu kuwafahamisha walio wengi yaliyomo katibani, ila mnatumia nguvu nyingi kulazimisha mabadiliko mnayoyahitaji nyie wachache huku walio wengi wakiamini hicho mnachodai hakiwahusu wala kuwa na maslahi kwao.

Dharau yenu furaha yao
 
Ile rasimu ya warioba waliiandaa na kuipendekeza chadema. Think out of the box.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya bunge ya mwaka 2012 inatambua uwepo wa mchato wa kupatikana kwa katiba mpya. Tume iliundwa na mabilioni yalitumika katika mchakato na wananchi tulitoa maoni yetu. Bunge la watu zaidi ya 500 lilikutana na wakala posho za kutosha. Waliokuwa wajumbe wa bunge lile ni viongo wote wa sasa kuanzia Rais, waziri mkuu, Kabudi, Polepole n.k. Why leo waseme wananchi hatuhitaji katiba?
 
Kuna mijamaa ikisikia katiba mpya inapagawa kabisa.

Uzi huu ulikuwa na list ya hiyo mijamaa mahali:


Tayari 15 yashatia timu.

Yaani ni fulu kupagawa.

Hiiiiii bagosha!
 
Reactions: BAK
Wakuuu pitieni hapa kidogo tuone umuhimu wa katiba kwa kizazi cha vijana kwa njia nyingine[emoji1313][emoji1313]


Msisahau na kupigia kura andiko hili mkishasoma.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini ccm wanaogopa katiba mpya na kwa nini wao ndio wawe wasimamizi wa uchaguzi ambao na wenyewe wanashiriki.

Mbona sisi tunataka katiba mpya na sisi sio wanasiasa. Ccm imetuchosha nafuu hata ya Corona.
 
Hawataki kusikia hayo, wao ni bora waungane na mataifa ya nje kuweka shinikizo ili watwae madaraka kuliko kufanya hayo...

Wanadhani watanzania ni wajinga, hawajui kutofautisha nyekundu na kijani...Nenda kwenye grassroot uone CCM inabebwa na kina nani? Kisha linganisha na vyama vingine...Utakuta hao wengine wanapata bahati ya kuungwa mkono na vijana ambao hawana ajira zao la hao hao wanaodhani watawasaidia kupata madaraka....They are both short sighted and minded people...

Walikuwa na wabunge, badala ya zile pesa za maendeleo kutengeneza miradi ya maendeleo wao walikuwa busy kuzipeleka chamani kusaidia kuvuruga amani na utulivu wa jamii kwa maandamano na malumbano yasiyoisha...Mmeweka historia mbaya...

If truly hayo mataifa yanataka maendeleo na wellbeing ya commoners wawaletee misaada ya miradi ya maendeleo kuajiri hao vijana na kuongeza pato la mkulima uone kama mtahitaji katiba kupata madaraka....Acheni usanii na siasa za kilaghai...Tanzania is a country na tupo ambao tupo tayari kuilinda bila kujali status ya vyama vyetu
 
Swali ni kuwa ushawahi waona wananchi wakitoka na mabango kudai katiba? Kama wanaitaka watoke waidai hakuna haja ya kutumia mwanasiasa wa upinzani.
Kwaiyo hii nchi viongoz haifanyi ktu ad wananch watoke na mabang?lin hao hao munaowaita wananchi walitoka na mabango wakadai wanataka tozo,au ongezeko la bei ,na kwan mwanasiasa sio mwananchi na mwananchi sio mwanasiasa ,apa tukubali tu viongoz wetu wanafuata upepo unapovuma siku raisi akija kusema katiba inaitajika na muhim wote watabalika na kuyakana maneno yao ,rejea kwenye korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…