CCM: Wananchi hawajawahi kudai Katiba mpya bali hilo ni takwa la wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

Unapiga tu lomoni yaani bila madhara.

" we mpuuzi, subiri mabadiliko, subiri ukombozi umeanza", Lomoni za kutosha yaani.
 
Unapiga tu lomoni yaani bila madhara.

" we mpuuzi, subiri mabadiliko, subiri ukombozi umeanza", Lomoni za kutosha yaani.
Unanishawishi sana nikupe muda wa kukuelimisha, kwa sababu naona unao uhitaji mkubwa kama siyo ujuha unaokusumbua hapa.
 
Atasemaje kuhusu ACT na washirika wake kutaka TUME HURU YA UCHAGUZI kwanza kabla ya katiba mpya!
 
Tureteeni hapa mwanaccm anayesema katiba mpya sii mahitaji ya watanzania ila ya wanasiasa wachache? Tunafahamu ccm wanaogopa maslahi Yao kuyeyika ndani ya katiba mpya na hawapo tayari kuona maslahi ya raia yakishamri.
 
Kwa hiyo ile Tume ya Jaji Warioba ilizunguka kipindi kile kukusanya maoni kwa sababu ya takwa la Wanasiasa, na siyo wananchi!!

Ok!!!
Achana na hao matapeli ya kijani, yanafikiri bado wapo wadanganyika wa Tanganyika.
 
Maana yake ni ipi, wananchi waandamane ndo wapate katiba ili hali ni nchi ya amani? au


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…