CCM, wananchi na maendeleo ni Sako kwa Bako

CCM, wananchi na maendeleo ni Sako kwa Bako

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Yaani CCM imeambatana na kuandamana sambamba na dhamira njema ya maendeleo kwa wanaichi wake, kisiasa kijamii na kiuchumii, napendwa mno, viongozi wake wanakubalika sana aisee.

Hakuna namna ya kuidhoofisha wala kuitenganisha CCM, wananchi na maendeleo, hawa ni daima sako kwa bako mpka kueleweka na CCM inapendwa mno na wananchi, inakubalika kila pembe ya nchi, inaaminika sana kwa waTanzania, kitaifa na kimataifa.

Ndio maana kwenye uchaguzi, kwa CCM, ushindi ni lazima, lakini pia, ushindi wa kishindo.

Tangu viongozi waandamizi wa chama, kuanzia ngazi ya matawi hadi Taifa, ni mahiri, Makini, madhubuti na wenye uwezo mkubwa sana wa kubuni, kuongoza mageuzi, kuchochea mabadiliko na maendeleo kwa wanaichi.

Hakika, muunganiko wa CCM, wananchi na maendeleo ni sako kwa bako.
 
Back
Top Bottom