Wana hofu labda na anguko laoTumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki.
Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki.
Tumefikaje hapa?
Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo?
Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
Tumefika hapa tulipo kwasababu ya unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, (self-absorbed group)Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki.
Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki.
Tumefikaje hapa?
Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo?
Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
Hawana amani kbs chadema wakitaka jambo tena kisheria wanatoka na mapanga, hivyo bas hawana amani cz sio watu watu wa haki. Maandiko yanasema mweny haki ataishi kwa imani!!Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki.
Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki.
Tumefikaje hapa?
Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo?
Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?