CCM wanaongoza nchi kisanii, ngumu sana kwa Tanzania kusonga mbele bila mbadala

CCM wanaongoza nchi kisanii, ngumu sana kwa Tanzania kusonga mbele bila mbadala

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
2,887
Reaction score
5,687
Nitataja mambo kadhaa

1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la maji mikoa kadhaa yenye shida ya maji. They don't care

2. Baada ya zoezi la sensa meseji zinazotumwa kutaarifu matokeo ya sensa zingetosha kutaarifu uma. anayetaka detail zaidi aende masjala mkoa.

Badala yake wakaitana Dodoma kupiga pesa ya uma. hiyo pesa ingepelekwa loan board watoto wakapatate mikopo

3. kulitokea tetesi za uizi BOT, tume ikaundwa , mrejesho kimya, sababu hatujui.. hizo pesa zingesaidia kuruzuku pembejeo za kilimo kuongeza tija kwenye kilimo.

4. Enzi za utawala wa kikwete tuliambiwa gesi inaenda kumaliza tatizo la mgao wa umeme. mgao umepamba moto.

5. Kuna mikoa ina mitoming mikubwa ya maji mfano mbeya, ruvuma, Sumbawanga lakini hakuna maji safi ya bomba kwa ajiri ya matumizi ya raia.
6. Saizi wanapambana kurithisana vyeo wao na watoto wao

7. Hivi ni kipi CCM wamekifanya kwa usahihi 50 years after independence? jibu ni hakuna

CCM wamechoka , they are out of ideas, there is nothing more they can do to move us from where we are.
 
moderator wa ccm lazima kuja kupinga
 
Binafsi sio mwanasiasa ila ifike wakati watanzania tuamue wao wanaamua tu upuuzi hasa ni uwepo wa changamoto sizizo na ufumbuzi kama umeme na Maji na kero za ushuru
 
Watanzania wenye ufahamu kama wako mleta mada ni wachache Sana. Wengi ni mbumbumbu na hawajielewi
 
Back
Top Bottom