SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na mwenyekiti na Makamu wa mwenyekiti CCM Taifa wote Wazanzibari .Marais wawili wote kutoka Zanzibar haiwezekani
2030Demokrasia mnayohubiri iko wapi?
Hata MremaWanapoteza mda,wakamuulize Lowasa na Membe
Usikariri mkuu, kwenye kila situation kuna options. Desperate times call for desperate measures. Usidhani watanzania wote ni makondoo yaliyojiinamia tu kusubiri kuchinjwa huku watu wachache wanaojiona wanamiliki nchii hii wakifanya wanavyotaka. Narudia tena, kuna namna.Tuwe wakweli kwa katiba hii hakuna mwana CCM YOYOTE atatanguliza pua lake kuchukua form dhidi ya Mama Samia.
Sisi tunaodai katiba mpya tushaona hii mambo mapema mno, kama unanibisha muulize Mzee Membe na yule Kijana wa Nazaleti watakukupa mkanda wote.
Daah2030
Hujui lolote wewe kaa chini. nyie ndiyo ambao unabwabwaja hapa afu mkiambiwa mjitokeze kudai haki zenu mnakimbilia uvunguni na wake zenu.Usikariri mkuu, kwenye kila situation kuna options. Desperate times call for desperate measures. Usidhani watanzania wote ni makondoo yaliyojiinamia tu kusubiri kuchinjwa huku watu wachache wanaojiona wanamiliki nchii hii wakifanya wanavyotaka. Narudia tena, kuna namna.
Mbali na zerikali tatu, kitu gani cha kuvutia kwenye ile original?Ilopelekwa original, ilipofika bungeni mazombie wakaanza kuchomoa ya muhimu na kuchomekwa mapuuza.
Rasimu ya Warioba ilisheheni matakwa ya wananchi Si ya wanasiasa pekee.Mbali na zerikali tatu, kitu gani cha kuvutia kwenye ile original?
Niliisoma, sehemu kubwa ilikuwa kunakili yaliyo kwenye katiba iliyopo.
Nimeisoma zaidi ya mara mbili. Kama yale ndio matakwa ya wananchi, hao wananchi watakuwa na matatizo ya akili.Rasimu ya Warioba ilisheheni matakwa ya wananchi Si ya wanasiasa pekee.
Eeh?! Sikulijua hilo.Warioba ni mwanasheria anayeheshimika sana kitaifa na kimataifa
Kwa vile ni dhahiri mama hatogombea (rejea gazeti la uhuru) , Hiyo fomu 1 atapewa nani ?2025 fomu ni Moja tu
Ingekuwa hivyo Membe ndiye angekuwa Ikulu sasa hivi.Tusijidanganye, anayeamua nani awe rais ni Rais aliyeko madarakani
Atapewa rais wa mioyo yenu Lowasa.Kwa vile ni dhahiri mama hatogombea (rejea gazeti la uhuru) , Hiyo fomu 1 atapewa nani ?
Hongera sana kwa kunijua na kujua kua sijui kitu. Muda si mchache tutaona mimi na wewe nani wa kukaa chini. Wewe unakomalia mwana ccm mwana ccm. Mimi nakwambia ipo namna.Hujui lolote wewe kaa chini. nyie ndiyo ambao unabwabwaja hapa afu mkiambiwa mjitokeze kudai haki zenu mnakimbilia uvunguni na wake zenu.
Nimekwambia hivi hakuna mwana CCM YOYOTE serious atachukua form kushindana na Mama Samia 2025
Umeusoma vzr muundo wa Serikali TATU au unasoma Ule uchakachuzi wa kina chenge!!Nimeisoma zaidi ya mara mbili. Kama yale ndio matakwa ya wananchi, hao wananchi watakuwa na matatizo ya akili.
Ni mwananchi gani mwenye akili timamu, kwa mfano, atakayetaka mkoa wa Dar es salaam na mkoa wa kusini Pemba iwe na uwakilishi sawa bungeni?
Si mpaka majaaliwa ya Mungu tufike SALAMA!!?2025 fomu ni Moja tu
Tusijidanganye, anayeamua nani awe rais ni Rais aliyeko madarakani
ningekuelewa kama maneno haya angesema mwananchi ambaye si mwana CCM, wewe naona CCM huijui vizuri. Hiyo namna mbona ilikwamba kufanyika baada ya kifo cha mwendazake? hujui mambo mengi ya nchi hii... nchi hii iache kama ilivyo.K
Hongera sana kwa kunijua na kujua kua sijui kitu. Muda si mchache tutaona mimi na wewe nani wa kukaa chini. Wewe unakomalia mwana ccm mwana ccm. Mimi nakwambia ipo namna.
Warioba na timu yake walichoandika ni rasimu ya katiba ya muungano.Umeusoma vzr muundo wa Serikali TATU au unasoma Ule uchakachuzi wa kina chenge!!