CCM wanataka maridhiano bila walioteka na kuuwa kujulikana na kuomba radhi. Je, wako sahihi?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,298
Reaction score
72,863
Kichwa cha habari kinahusika.

Ccm hawataki watekaji na wauwaji wajikane.

Pia hawataki wahusika hao kuomba MSAMAHA kwa matendo yao.

Kule Afrika Kusini, mchakato wa Maridhiano ulihusisha waliofanya uovu kutambuliwa na kuomba msamaha.

Kwa hapa Tanzania kuna watu wameuwa mpaka watoto OCT 29 lakini Ccm inawakingia kifua. Haitaki wajulikane. Haitaki waombe radhi.

Na ukweli huo ndio sababu ya Ccm kutaka kuhodhi mchakato wa Maridhiano.

Ccm hawataki MSULUHISHI WA KIMATAIFA aje kusimamia maridhiano kwasababu mtu wa aina hiyo hatataka kuwa na ubia na waliohusika kuteka, na kuuwa.

Maridhiano yasiyohusisha kukomeshwa kwa utekaji holela, na mauaji ya wakosoaji, ni kiini macho.

Maridhiano yasiyohusisha watekaji, na wauwaji kujulikana, na kuomba radhi, sio sahihi.
 
Swala muhimu nu uwakibikaji. Swala kuomba radhi halipo.
 
Hamna kitu hapo
 
It’s a meaningless exercise. Utashi wa dhati wa kufanya maridhiano haupaswi kuwa na fellowship na matendo yaleyale yaliyosababisha mpasuko kwenye jamii inayohusika. Hapa mambo ni kinyume kabisa—mazafakas wanaendelea kufanya umafia kama kawaida!
 
Ccm wanafanya hadaa na usanii tu.
 
It’s a meaningless exercise. Utashi wa dhati wa kufanya maridhiano haupaswi kuwa na fellowship na matendo yaleyale yaliyosababisha mpasuko kwenye jamii inayohusika. Hapa mambo ni kinyume kabisa—mazafakas wanaendelea kufanya umafia kama kawaida!

..Na huwezi kufanya maridhiano huku unakamata, na kufungulia watu makesi ya ugaidi.

..Makaburu walifungulia wafungwa na kuunda Tume ya maridhiano chini ya Desmond Tutu.
 
Watuambia watekaji ni akina nani na ni nani aliyeko nyuma yao.
Basi. Wasipofanya hivi watafanya kwa lazima.
 
Polepole alikua mbele ya Mda alisema baada uchaguzi hakuna maridhiano
 
Tuwajue Kwanza wasiojulikana pengine ndio Hawa kina tilatilah na wengine kibao hapa jukwaani ndio hao watekaji.
 
Ccm ni pure Mexican cartels sioni tofauti yao! Kwasababu hata Mexican cartels wanapeleka na kujenga shule hospitals HUDUMA za maji nk kwenye maeneo wanayoyamiliki na ndio maana kuna makundi kama Los zetas yanapendwa huko kutokana na HUDUMA wanazotoa Kwa wananchi despite their cruelty!
 
Back
Top Bottom