Swala muhimu nu uwakibikaji. Swala kuomba radhi halipo.Kichwa cha habari kinahusika.
Ccm hawataki watekaji na wauwaji wajikane.
Pia hawataki wahusika hao kuomba MSAMAHA kwa matendo yao.
Kule Afrika Kusini, mchakato wa Maridhiano ulihusisha waliofanya uovu kutambuliwa na kuomba msamaha.
Kwa hapa Tanzania kuna watu wameuwa mpaka watoto OCT 29 lakini Ccm inawakingia kifua. Haitaki wajulikane. Haitaki waombe radhi.
Na ukweli huo ndio sababu ya Ccm kutaka kuhodhi mchakato wa Maridhiano.
Ccm hawataki MSULUHISHI WA KIMATAIFA aje kusimamia maridhiano kwasababu mtu wa aina hiyo hatataka kuwa na ubia na waliohusika kuteka, na kuuwa.
Maridhiano yasiyohusisha kukomeshwa kwa utekaji holela, na mauaji ya wakosoaji, ni kiini macho.
Maridhiano yasiyohusisha watekaji, na wauwaji kujulikana, na kuomba radhi, sio sahihi.
Swala muhimu nu uwakibikaji. Swala kuomba radhi halipo.
Hamna kitu hapoKichwa cha habari kinahusika.
Ccm hawataki watekaji na wauwaji wajikane.
Pia hawataki wahusika hao kuomba MSAMAHA kwa matendo yao.
Kule Afrika Kusini, mchakato wa Maridhiano ulihusisha waliofanya uovu kutambuliwa na kuomba msamaha.
Kwa hapa Tanzania kuna watu wameuwa mpaka watoto OCT 29 lakini Ccm inawakingia kifua. Haitaki wajulikane. Haitaki waombe radhi.
Na ukweli huo ndio sababu ya Ccm kutaka kuhodhi mchakato wa Maridhiano.
Ccm hawataki MSULUHISHI WA KIMATAIFA aje kusimamia maridhiano kwasababu mtu wa aina hiyo hatataka kuwa na ubia na waliohusika kuteka, na kuuwa.
Maridhiano yasiyohusisha kukomeshwa kwa utekaji holela, na mauaji ya wakosoaji, ni kiini macho.
Maridhiano yasiyohusisha watekaji, na wauwaji kujulikana, na kuomba radhi, sio sahihi.
It’s a meaningless exercise. Utashi wa dhati wa kufanya maridhiano haupaswi kuwa na fellowship na matendo yaleyale yaliyosababisha mpasuko kwenye jamii inayohusika. Hapa mambo ni kinyume kabisa—mazafakas wanaendelea kufanya umafia kama kawaida!Kichwa cha habari kinahusika.
Ccm hawataki watekaji na wauwaji wajikane.
Pia hawataki wahusika hao kuomba MSAMAHA kwa matendo yao.
Kule Afrika Kusini, mchakato wa Maridhiano ulihusisha waliofanya uovu kutambuliwa na kuomba msamaha.
Kwa hapa Tanzania kuna watu wameuwa mpaka watoto OCT 29 lakini Ccm inawakingia kifua. Haitaki wajulikane. Haitaki waombe radhi.
Na ukweli huo ndio sababu ya Ccm kutaka kuhodhi mchakato wa Maridhiano.
Ccm hawataki MSULUHISHI WA KIMATAIFA aje kusimamia maridhiano kwasababu mtu wa aina hiyo hatataka kuwa na ubia na waliohusika kuteka, na kuuwa.
Maridhiano yasiyohusisha kukomeshwa kwa utekaji holela, na mauaji ya wakosoaji, ni kiini macho.
Maridhiano yasiyohusisha watekaji, na wauwaji kujulikana, na kuomba radhi, sio sahihi.
Ccm wanafanya hadaa na usanii tu.Kichwa cha habari kinahusika.

It’s a meaningless exercise. Utashi wa dhati wa kufanya maridhiano haupaswi kuwa na fellowship na matendo yaleyale yaliyosababisha mpasuko kwenye jamii inayohusika. Hapa mambo ni kinyume kabisa—mazafakas wanaendelea kufanya umafia kama kawaida!