Ni lazima aingie kwenye mchujo?..2020 magu aliingia na nani kwenye mchujo?.. jakaya 2010 aliingia na nani?.. mkapa 2000 aliingia na nani?Huyo mwenyekiti wao mbona yeye hajaingia kwenye mchujo?
Anajua atachujwa na kwenda kutupwa kizimkazi.Huyo mwenyekiti wao mbona yeye hajaingia kwenye mchujo?
CCM iachie dola ili iweje!?Kiukweli kbs natamani wajeda wapindue meza kama yule Traore, hilo genge cccm haliwezi kukubali kuachia dola anadan!
Unata arudi mpima samaki kwa rula?Wanaorudi ni wale tuu watiifu wa Kizimkazi.
Utosi wako uko sawasawa kweli!?Huu ndio uchaguzi sasa...hiyo ya NEC ni kupitisha tu wagombea wa CCM! Swali la kujiuliza mwananchi ameshiriki vipi kumchagua kiongozi wake ?