Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Hii hadi hapa sidhani km ni attention kwa jamii,Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa leo baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichomalizika usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa mwandishi wa Ufm Radio Joyce Mwakalinga aliyepo Dodoma majina hayo yatatangazwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika kuanzia saa sita mchana.
Bali yawezekana Bi tozo majina aliyokumbalina na wenzake jana kwenye kikao, anaondoa asiyoyataka yeye na Ayatollah wa mchongo wa pwani