Ukiona mpaka muda huu kimya tambua maji yameshakorogeka vibaya sanaSi watuwekee majina hapa tuone akina nani wamepenya kwenye 3 Bora?
Wanasubiri ruhusa kutoka kwa Mganga waoHawa wapuuzi mpaka muda huu hawajataja majina tu?
Au wamekorogana huko vyumbani nn!Wanasubiri ruhusa kutoka kwa Mganga wao
Mama amejichanganya angeacha utaratibu ule ule wa zamani.Hawa wapuuzi mpaka muda huu hawajataja majina tu?
Ngoja kukuche tuone nn kimejiriMama amejichanganya angeacha utaratibu ule ule wa zamani.
Wanachewesha muone wako seriouslyUkiona mpaka muda huu kimya tambua maji yameshakorogeka vibaya sana
Unazingua wewe mzeeDunia nzima wanafuatilia na kuchukua notes kujifunza kutoka kwa chama kongwe ambayo ni well ahead of time!
View: https://m.youtube.com/watch?v=iybCM98nInY
Makalla kaingia kona mbona ‘bi tozo’ na biongo viongozi wengine washaenda kulala.
"Na aliye msafi kati yetu aanze kumponda jiwe huyo tunaye mwona ni mchafu*.Kwahiyo shida imekuwa nn ?
Mshana Jr Same MagharibiWametajana?
Shilole kashinda kwa kishindoCCM..mwisho Wa janja janja aibu naona mimi
Sasa wapuuzi halafu bado unawafuatilia mambo yao?Hawa wapuuzi mpaka muda huu hawajataja majina tu?