GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM wamefanikiwa kuwatoa watu kwenye mijadala muhimu sasa kila mtu anasubiria majina tu.
Tumesahau hata kesi ya Tundu Lisu wanataka tuamini eti kuna wana CCM hawamtaki Samia na watapindua meza. CCM wote jambo lao moja, Polepole atakuwepo kwenye kampeni na wanawasiliana vizur tu na CCM yake.
Wakati tunasubiria hekaya zao tayar kampeni zinaanza wiki moja ijayo, just siku 2 tu tangu kutangazwa kwa majina ya wagombea wao.
 
CCM wamefanikiwa kuwatoa watu kwenye mijadala muhimu sasa kila mtu anasubiria majina tu.
Tumesahau hata kesi ya Tundu Lisu wanataka tuamini eti kuna wana CCM hawamtaki Samia na watapindua meza.
Niwekee link au nitagi
Kwa post ambazo wewe unakuandika au kuonyesha kuwa upo nae kila sekunde na haujadili mengi maishani mwako sasa hivi.
 
Kiukweli kbs natamani wajeda wapindue meza kama yule Traore, hilo genge cccm haliwezi kukubali kuachia dola anadan!
Tuna mijamaa ya hovyo hovyo nchi hii! Yameinamisha vichwa tu kama mikondoo! Juzi naongea na bwana mdogo ananiambia siwezi kupata nafasi mpaka uchaguzi upite! Yameshapangwa kukaa stand by kulinda wizi wa kura! West Africa nawakubali sana wasingekubali ujinga huu! Kwanza ile fursa iliyokuwapo kipindi mwendazake anaondoka wasingeiachia! Hata ki koplo tu kingejiongeza kingechukua nchi!
 
Back
Top Bottom