inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Hakuwepo?Wanamsubiri JK ndio majona yatatoka
Hakuwepo?Wanamsubiri JK ndio majona yatatoka
Huwa anakujaga mwishoni ili kupitisha wa kwakeHakuwepo?
Wakwe zake ni nani na naniHuwa anakujaga mwishoni nili kupitisha wakwe
Na yeye binadamu kaumbwa na aibu, itakuwa kajistukia.Huwa anakujaga mwishoni nili kupitisha wakwe
Kundi la singidaWakwe zake ni nani na nani
Ndio vitu vinamshusha, wananchi wamepunguza imani naeHivi angekuwa ni JPM,hii kazi si ingefanyika masaa mawili TU?
Ana mkwe singida?Kundi la singida
amebubujikwa🤣🤣Ametoka machozi ya furaha 😃
Lucas mwashambwa anabubujikwa na machozi kwasasababu Makala amechelewa kutangaza!!CCM huenda ni kubaya uko ndani
Nini hio mbaga?Inasikitisha sana
Chadema wangekuwa madarakani nchi ingekuwa kama USA?ccm ni makumazani tu, ndio maana nchi maskini