MASHUKE ORIGINAL
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 328
- 611
Duh!
Uoga, unafiki na upumbavuUJINGA wa mwafrika ni kutojali muda
Hawa wandishi wa habari ninawashangaa sana three hours kusubiri mtu mmoja??
Katiba ya nchi yetu inamruhusu kuwa awamu ya sita kwani Magu alifariki miaka 4 kabla ya kufikisha 5. Hivyo hii ni nafasi yake wala si ya mchongo.Lini aligombea kwa mara ya kwanza ?
Siyo kweli na siyo sahihiKatiba ya nchi yetu inamruhusu kuwa awamu ya sita kwani Magu alifariki miaka 4 kabla ya kufikisha 5. Hivyo hii ni nafasi yake wala si ya mchongo.
GT anatoa jibu mbadala. Ukweli ukoje kama katiba unaijuaSiyo kweli na siyo sahihi
Weka hoja mezani kwanza tuioneSiyo kweli na siyo sahihi
Kwa hiyo samia ni rais wa awamu ya tano na magu ni rais wa awamu ya tano?Siyo kweli na siyo sahihi
Ndio sababu ilani ni mojaKwa hiyo samia ni rais wa awamu ya tano na magu ni rais wa awamu ya tano?
Kwa hiyo wote ni marais wa awamu ya tano,ila samia ni makamu wa rais pia wa awamu ya tano?Ndio sababu ilani ni moja
Ndio maana ya NO REFORMS NO ELECTION ww umeelewa vzr sana kiongozi.Huu ndio uchaguzi sasa...hiyo ya NEC ni kupitisha tu wagombea wa CCM! Swali la kujiuliza mwananchi ameshiriki vipi kumchagua kiongozi wake ?