peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Leo CCM itawafidia wandishi wa habari muda waliopoteza au itakuaje???
Dabo standadi ndio hizoHuyo mwenyekiti wao mbona yeye hajaingia kwenye mchujo?
Muoga kupigiwa kura . Kusoma alisoma kuuza K na kufaulu.Dabo standadi ndio hizo
Wana - CCM wa wakati huu ni waoga kuliko hata sisi Wananchi. Ni ngumu sana kutokea mpasuko wowote, kwanza hakuna Makundi yenye nguvu kama awamu zilizopita. Samia hata akiamua kuendelea baada ya 2030, Hawa CCM hawana ubavu wa kumzuia.. Wataishia tu kulalamika chini chini ..CCM inakwenda kupasuka vipande vipande.
Huko mimi simoMuoga kupigiwa kura . Kusoma alisoma kuuza K na kufaulu.
Uko sahihiMkeka uwekwe hapa tuipitie
Kumbe bado. saa 11 hadi saa 1:55Leo CCM itawafidia wandishi wa habari muda waliopoteza au itakuaje???
Kipindi cha pili cha Urais, mgombea wa CCM hawi na mpinzaniHuyo mwenyekiti wao mbona yeye hajaingia kwenye mchujo?
Hawa wandishi wa habari ninawashangaa sana three hours kusubiri mtu mmoja??
Wakuu,
Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.
Ngoja tuone kitachojiri
Ndio maana wamewekewa bodi ya ithibati.Hawa wandishi wa habari ninawashangaa sana three hours kusubiri mtu mmoja??
Mbona Kila siku ni omba omba ,fedha wanapeleka wapi?Kusubiri fedha. Kwao habari ni fedha.
Wengi ni vishokaNdio maana wamewekewa bodi ya ithibati.
Yani mmewaziba mdomo halafu mnawasemesha.Nasubiria
Inabidi nichukue kadi ya CCM
Labda mimi ndio mbarikiwa kusaidia kazi za Maza Taifa
Au Chadema ila wametulia sana siku hizi, hawana vibe.
Leteni pesa 😊 niwafundishe ya kufanikiwa kutoka kwa mie niliye pia u juzi huu.. strategist(moja wapo)
Ujana siyo sifa ya kuwa mbunge. Ujinga hauna umriSafi sana,well done! Sura za vijana zitakuwa nyingi sana!