Wakuu,
Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.
Ngoja tuone kitachojiri
Ni pamoto. Kukata watu wa muhimu kwenye chama si mchezo.Waandishi wa habari wametapeliwa!
Tangu saa 11 jioni hadi muda huu, Makalla haonekani🤣🤣🤣
Wakuu,
Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.
Ngoja tuone kitachojiri
Ulitia nia Mkuu?Ni pamoto. Kukata watu wa muhimu kwenye chama si mchezo.
Wakuu,
Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.
Ngoja tuone kitachojiri
Mzee wa sebene huyu 😄Makalla yeye si uwa anapaka mafuta tu uso ung’ae kwenye kamera.
Au mafuta hayatoshi anataka na vipodozi aonekane vizuri zaidi.
Watu mnasubiri mpaka bando linataka kukata.
Hao walikuwa Marais proper, sio hii Makamu.Mtu mwenye utimamu wa akili hawezi kutoa mifano kama yako labda kama umeamua kuupa likizo ubongo wako.
...Uzee si ugonjwa na ujana si tiba...Safi sana,well done! Sura za vijana zitakuwa nyingi sana!
Huo muda sina.Ulitia nia Mkuu?
Enlighten that niggarHao walikuwa Marais proper, sio hii Makamu.
Ccm bila kuona damu hawawez achia nchiKiukweli kbs natamani wajeda wapindue meza kama yule Traore, hilo genge cccm haliwezi kukubali kuachia dola anadan!
Wakuu,
Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.
Ngoja tuone kitachojiri
Kwanini mpendwaCCM inakwenda kupasuka vipande vipande.
Sasa hata kama yumo, kama alimshindwa Sugu Chadema ndio atauweza mziki wa kura za maoni za Ccm?Mchungaji Msigwa yumo 😄😄😄🇮🇱