GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo mwenyekiti wao mbona yeye hajaingia kwenye mchujo?
20250721_074011.jpg
 
Majina ya January Makamba na Luhaga mpina yanarudi, yakachinjwe na wajumbe wenyewe.

Mabadiliko ya juzi yalikuwa na maana sana!

Rushwa hupofusha macho.

Kuna clip moja ilikua inazagaa ikihusisha udini katika kuchaguana na ilisema wazi kuwa kuna kujibu mbele ya Allah kama wa imani fulani hawatachaguana.

Marekebisho ya CCM ni mwenfelezo wa kikundi kidogo kushika dola
 
Siasaaa😄😃🙌
Usikute kuna jina la mgombea linatakiwa kurudi wao wamelikata. Matokeo yake folder lote la majina linapotelea kusikojulikana.

Inanikumbusha wakati fulani; tukihesabu kura zilizopigwa idadi iko sawa, tukijumlisha kura za kila mgombea idadi inapungua. Tulihesabu karibu mara 3, ikabidi tumshirikishe Mungu. Hatmaye idadi ikawa sawa.

Nasikia 'wataalam' wanachezeshaga kura zikiwa ndani ya box!😄🙌
 
Hao waandishi wapewa hata chai na vitumbua waache kupigia miayo kila wakati, wanted lia huruma Yan 😂
 
Back
Top Bottom