GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera Lucas Mwashambwa kwa kuchaguliwa kuipeperusha CCM udiwani wa viti maalum mbozi
😃😃...kuna wenzake wameuza viwanja vyao pesa wakawahonga wajumbe ili wawapitishe...wajumbe hawajawapitisha😂...nusura wazimie...walipiga sana yowe kwa sauti ya juu. Mwingine alilala na wajumbe kama watatu hivi kwa wakati tofauti ili tu wamsaidie aweze kupita...wajumbe kenge wale...wakamlala dada wa watu na kiwanja kikaenda...jina hakuwepo ktk Yale majina matatu😭🤣🤣. Ccm dhambi wanazozidi kujilimbikizia ni hatari mno
 
Makalla yeye si uwa anapaka mafuta tu uso ung’ae kwenye kamera.

Au mafuta hayatoshi anataka na vipodozi aonekane vizuri zaidi.

Watu mnasubiri mpaka bando linataka kukata.
 
Back
Top Bottom