kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Kaongea ukweli,anazingua nini?Unazingua wewe mzee
Kaongea ukweli,anazingua nini?Unazingua wewe mzee
Tulia we boyaTatizo la kubadilisha Katiba online , wajumbe walishafanya maamuzi ilipaswa yaheshimiwe. Toop!!! Sasa hii papatu papatu ya chomeka huyu ondoa yule!! Mwishowe kila mtu ataondoka na fito zake.
😎
Huyo jamaa huwa ni mchungaji wa ng'ombe ama kondoo na mbuzi?Mchungaji Msigwa yumo 😄😄😄🇮🇱
Maana yake nini kuibuka kidedea?Dotto Magari aibuka kidedea
Hana akili,huyo bibi simpendi aiseeMama amejichanganya angeacha utaratibu ule ule wa zamani.
Katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania inamtambuaje mh SSH kuanzia 2021-2025?Kwani awamu yake ya kwanza au pili?, wale walikuwa awamu ya pili ndio maana walifanyiwa vile, huyu hana awamu kwanza ndio anatakiwa aanze kujipambania
Chajenga uhuniCCM Chama Chetu
Kiko wapiiiii...CCM Chama Chetu
Una shida kubwa kichwani mwako...sio bure weweUmeona kihunzi kirefu eeh!?..ukauona upumbavu wako peupe
Wewe utakuwa mmoja wa wale Marehemu Masabuli alisema mnafikiri kwa kutumia Makalio.Tulia we boya