CCM wanatetemeka na kububujikwa machozi kwa uoga, waacha kurusha live mikutano ya Nchimbi, wanajua hamna kitu pale wasije kuaibika nchi nzima

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Salam kwa jina la Lucas Mwashambwa,

Wakuu sasa hivi kama mmechunguza mikutano ya CCM anayofanya Nchimbi akiwa amembatana na Makala hairushwi live. Wanaweka tu vile vipande wanavyotaka kudanganya watanzania au wanavyowananga CHADEMA.

Ukiona wamerusha ka video kama hawamsifii Rais Samia basi wanapotosha. Juzi mmeaibika kutuwekea taarifa ya uongo ya wanachama wa CHADEMA ikiwemo Mwenyekiti na Katibu wake Itilima, Simiyu kuhamia CCM, mkafikiri itabaki siri Watanzania wasijue ukweli:KEKLaugh::KEKLaugh:

Ni kwamba mmeishiwa kiasi hiki mpaka mnaamua kutunyima taarifa Watanzania? Ajabu CCM nayo imeanza kuogopa akina CHADEMA na wengine:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Kweli safari hii mmeshikwa pabaya, Watanzania, mliposhika hapo hapo endeleeni kukaza, hakuna kuwaacha wapumue:gachiCOOL:
 
Endelea kujifariji! Nipo Arusha karibu na mkutano wa lema unaoendelea muda huu! Watu wanahesabika infact hawafiki 69! Chadema imechoka kuliko ccm.
 
Hatuna haja ya kujifariji, mnatuonesha wenyewe uoga wenu... sasa tuna uhakika mnanatetemeka na kuhaha kwa uoga... mnajua sasa hivi kazi ipo :BearLaugh: :BearLaugh:
 
Kwa hakika CHADEMA naona kwa sasa mmechanganyikiwa kabisa na hata mafuriko ya watu wanaomiminika katika mikutano ya Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi jasusi mbobevu
Screenshot_20241009-152555_1.jpg
Screenshot_20241006-132427_1.jpg
 
Sasa hivi CCM baada ya kusikia CHADEMA itashiriki kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa,CCM imesha panic!
Wanangoja msaada wa Polisi! Sera za Uchawa wanazotegemea hazina mashiko!
 
Hakuna chama chenye uwezo wa kushindana na CCM katika sanduku la kura. Hivyo vyama vingine kama CHADEMA vinafanya kazi ya kusindikiza tu.
 
Watu wanahesabika infact hawafiki 69!
Eti 69..😅

Si uongeze hapo 1 wawe 70 !?

BTW, ccm inaiogopa CHADEMA kuliko chama kingine chochote cha siasa.

...CHADEMA kamata mwizi..!
 
Salam kwa jina la Lucas Mwashambwa,

Wakuu sasa hivi kama mmechunguza mikutano ya CCM anayofanya Nchimbi akiwa amembatana na Makala hairushwi live. Wanaweka tu vile vipande wanavyotaka kudanganya watanzania au wanavyowananga CHADEMA.

Ukiona wamerusha ka video kama hawamsifii Rais Samia basi wanapotosha. Juzi mmeaibika kutuwekea taarifa ya uongo ya wanachama wa CHADEMA ikiwemo Mwenyekiti na Katibu wake Itilima, Simiyu kuhamia CCM, mkafikiri itabaki siri Watanzania wasijue ukweli:KEKLaugh::KEKLaugh:

Ni kwamba mmeishiwa kiasi hiki mpaka mnaamua kutunyima taarifa Watanzania? Ajabu CCM nayo imeanza kuogopa akina CHADEMA na wengine:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Kweli safari hii mmeshikwa pabaya, Watanzania, mliposhika hapo hapo endeleeni kukaza, hakuna kuwaacha wapumue:gachiCOOL:
kwahiyo ndrugo makamanda wa chadema mmenyimwa habari za mikutano ya CCM?🤣

mmejiskia vibaya ee?🐒
 
Kwani kila raia anayeongea na kuchangia humu ni lazima awe simba na yanga ya usisi'em na uchadema?

Sisi tusioamini vyama, pua zetu tuzielekeze wapi?
Siyo lazima Mkuu, na siyo kila anayechangia yupo kwenye upande mmoja wapo
 
Kwa hakika CHADEMA naona kwa sasa mmechanganyikiwa kabisa na hata mafuriko ya watu wanaomiminika katika mikutano ya Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi jasusi mbobevu View attachment 3121117View attachment 3121118
Mafuriko ya watu mnayotaka myaone wenyewe tu? Mnaogopa nini Tanzania kujua mnachofanya huko? Ni sababu mnajua mtakaangwa sawa sawa na hamna majibu ya kutoa! Mmeshikwa 'ikulu' saivi, hamfurukuti :KEKLaugh:
 
Sasa hivi CCM baada ya kusikia CHADEMA itashiriki kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa,CCM imesha panic!
Wanangoja msaada wa Polisi! Sera za Uchawa wanazotegemea hazina mashiko!
Zaidi ya uchawa hakuna kingine, kwa huduma mbovu tunazopokea wananchi, watajitetea kwa kipi wananchi tuelewe. Na actions wanazoendelea kuchukua ndio kabisa wanazidi kuboronga
 
Hakuna chama chenye uwezo wa kushindana na CCM katika sanduku la kura. Hivyo vyama vingine kama CHADEMA vinafanya kazi ya kusindikiza tu.
Katika sanduku la kura au kupeleka watu msituni na yale aliyosema Nape kwa yule anayetangaza matokeo? Ah nilitaka kusahau na yule polisi alisema bila kuwabeba kwa mbeleko sisiemu ni funza tu:BearLaugh:
 
Mafuriko ya watu mnayotaka myaone wenyewe tu? Mnaogopa nini Tanzania kujua mnachofanya huko? Ni sababu mnajua mtakaangwa sawa sawa na hamna majibu ya kutoa! Mmeshikwa 'ikulu' saivi, hamfurukuti :KEKLaugh:
Mambo ya CCM yanafanyika hadharani na siyo gizani.ndio maana watu wana imani kubwa sana na CCM
 
Eti 69..😅

Si uongeze hapo 1 wawe 70 !?

BTW, ccm inaiogopa CHADEMA kuliko chama kingine chochote cha siasa.

...CHADEMA kamata mwizi..!
Yaani wanatetemeka, safari hii CHADEMA wamejua kuwafinya
 
kwahiyo ndrugo makamanda wa chadema mmenyimwa habari za mikutano ya CCM?🤣

mmejiskia vibaya ee?🐒
Chawa bwana ni mikutano kwa Wananchi, ya kwenu ya kupanda kupeleka watu msituni hakuna anayetaka kuisikia:KEKLaugh::KEKLaugh: mnataka kuongoza halafu hamtaki tusikie mlichofanya mnaenda kupigiwa kura na nani?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Nikuletee blankenti Mkuu upunguze kutetema?:BearLaugh::BearLaugh:
 
Back
Top Bottom