Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Salam kwa jina la Lucas Mwashambwa,
Wakuu sasa hivi kama mmechunguza mikutano ya CCM anayofanya Nchimbi akiwa amembatana na Makala hairushwi live. Wanaweka tu vile vipande wanavyotaka kudanganya watanzania au wanavyowananga CHADEMA.
Ukiona wamerusha ka video kama hawamsifii Rais Samia basi wanapotosha. Juzi mmeaibika kutuwekea taarifa ya uongo ya wanachama wa CHADEMA ikiwemo Mwenyekiti na Katibu wake Itilima, Simiyu kuhamia CCM, mkafikiri itabaki siri Watanzania wasijue ukweli

Ni kwamba mmeishiwa kiasi hiki mpaka mnaamua kutunyima taarifa Watanzania? Ajabu CCM nayo imeanza kuogopa akina CHADEMA na wengine

Kweli safari hii mmeshikwa pabaya, Watanzania, mliposhika hapo hapo endeleeni kukaza, hakuna kuwaacha wapumue