Buhahahaa, sasa mnaogopa nini Tanzania tujue. Mlivyokuwa cheap mnadanganya hadi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, na kuweka majina yenu.... mmebanwa kiasi hicho hadi mnashindwa kupumua?Mambo ya CCM yanafanyika hadharani na siyo gizani.ndio maana watu wana imani kubwa sana na CCM
Endelea kuweweseka wakati CCM ikiendelea kuchanja Mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzaniaBuhahahaa, sasa mnaogopa nini Tanzania tujue. Mlivyokuwa cheap mnadanganya hadi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, na kuweka majina yenu.... mmebanwa kiasi hicho hadi mnashindwa kupumua?
Poa.Siyo lazima Mkuu, na siyo kila anayechangia yupo kwenye upande mmoja wapo
Habari zenyewe za Tlaaatlaah ,Lucas na Choice,sibora hata uzikose habari hizo?kwahiyo ndrugo makamanda wa chadema mmenyimwa habari za mikutano ya CCM?π€£
mmejiskia vibaya ee?π
Jambo zuri ni kwamba hauwezi udanganya moyo, ukweli unaujua ππEndelea kujifariji! Nipo Arusha karibu na mkutano wa lema unaoendelea muda huu! Watu wanahesabika infact hawafiki 69! Chadema imechoka kuliko ccm.
Yaani hata uzi haujafika mbali mshafanya boko jingine π€£ π€£, mkuu umeona mlichofanya kwa Jambo na kwa Nay.... yaani mnahara kwa hofu huko mliko mpaka mnachukua hatua za kijingaEndelea kuweweseka wakati CCM ikiendelea kuchanja Mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania
Hivi mgombea wetu wa Urais na mwenza ni nani vile?Hatuna haja ya kujifariji, mnatuonesha wenyewe uoga wenu... sasa tuna uhakika mnanatetemeka na kuhaha kwa uoga... mnajua sasa hivi kazi ipo
kwahiyo CCM wamewafanyia unyanyasaji wa kisaikolojia π€£Habari zenyewe za Tlaaatlaah ,Lucas na Choice,sibora hata uzikose habari hizo?
kwahiyo ndrugo makamanda wa chadema mnapitia manyabyaso ya kisaikolijia kwankunyimwa fursa ya habari ya kujua CCM inafanya nini leo wap?π€£Chawa bwana ni mikutano kwa Wananchi, ya kwenu ya kupanda kupeleka watu msituni hakuna anayetaka kuisikiamnataka kuongoza halafu hamtaki tusikie mlichofanya mnaenda kupigiwa kura na nani?
Nikuletee blankenti Mkuu upunguze kutetema?