CCM wanatetemeka na kububujikwa machozi kwa uoga, waacha kurusha live mikutano ya Nchimbi, wanajua hamna kitu pale wasije kuaibika nchi nzima

CCM wanatetemeka na kububujikwa machozi kwa uoga, waacha kurusha live mikutano ya Nchimbi, wanajua hamna kitu pale wasije kuaibika nchi nzima

Mambo ya CCM yanafanyika hadharani na siyo gizani.ndio maana watu wana imani kubwa sana na CCM
Buhahahaa, sasa mnaogopa nini Tanzania tujue. Mlivyokuwa cheap mnadanganya hadi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, na kuweka majina yenu.... mmebanwa kiasi hicho hadi mnashindwa kupumua?:KEKLaugh::BearLaugh:
 
Endelea kuweweseka wakati CCM ikiendelea kuchanja Mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania
 
Endelea kujifariji! Nipo Arusha karibu na mkutano wa lema unaoendelea muda huu! Watu wanahesabika infact hawafiki 69! Chadema imechoka kuliko ccm.
Jambo zuri ni kwamba hauwezi udanganya moyo, ukweli unaujua 😃😃
 
Endelea kuweweseka wakati CCM ikiendelea kuchanja Mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania
Yaani hata uzi haujafika mbali mshafanya boko jingine 🤣 🤣, mkuu umeona mlichofanya kwa Jambo na kwa Nay.... yaani mnahara kwa hofu huko mliko mpaka mnachukua hatua za kijinga
 
Hatuna haja ya kujifariji, mnatuonesha wenyewe uoga wenu... sasa tuna uhakika mnanatetemeka na kuhaha kwa uoga... mnajua sasa hivi kazi ipo :BearLaugh: :BearLaugh:
Hivi mgombea wetu wa Urais na mwenza ni nani vile?
 
Chawa bwana ni mikutano kwa Wananchi, ya kwenu ya kupanda kupeleka watu msituni hakuna anayetaka kuisikia:KEKLaugh::KEKLaugh: mnataka kuongoza halafu hamtaki tusikie mlichofanya mnaenda kupigiwa kura na nani?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Nikuletee blankenti Mkuu upunguze kutetema?:BearLaugh::BearLaugh:
kwahiyo ndrugo makamanda wa chadema mnapitia manyabyaso ya kisaikolijia kwankunyimwa fursa ya habari ya kujua CCM inafanya nini leo wap?🤣

mwaka unaisha chadema haijafanya chochote zaid ya press conference ambazo haihulikani hata zilikua zinahusu nini dah 🤣
 
Back
Top Bottom