Pre GE2025 CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unajua ruzuku ya chama kwa mwezi CCM inapokea bilioni ngapi kwa mwezi? Unafahamu vitega uchumi vya CCM kuanzia fremu zote za maduka kwenye viwanja vya CCM Kila mkoa hapo sijaongelea mapato ya mechi? CCM ina uwezo wa kununua hata ndege ikiamua hela ipo.
 
Hizo basi zitaifishwe zipelekwe Ilboru Galanosi Mazengo Shybush Mkwawa nk zikabebe Wanafunzi.......
 
Kwa Tanzania Hiki Ndiyo Kipindi Mifuko Yote Inayojaza Pesa Za CCM/SERIKALI Inachotwa Cash Hovyo Hovyo
Na Majizi Hupitisha Dili Zao Chap Chap

Chota Chota Ndiyo Muda Wake
 
Mbona vigari vichache tu hivyo Kwa chama kama CCM?
 
Kwanza hizo alizo ziona huenda ni za mkoa mmoja tu
 
Hii nchi kuna waarabu ''wamewekeza'' (soma wanapiga) na wanaendelea ''kuwekeza'' (kupiga) unadhani wataacha kutoa fedha ili waendelee kuwepo? Unaona fedha zitasambaa mpaka kwa viongozi wa dini na vyama vya upinzani unadhani zinatoka wapi? Mi-ananchi wacha iendelee kuzubaa siku ikigutuka inakuta nchi imekwisha.
 
Yawezekana kila mtu anayetaka ubunge ndani ya CCM 2025 kapewa sharti la kununua bus moja.
Pesa utatoa wapi utajua mwenyewe.
Iba ila usikamatwe
 
sasa wewe ulifikiri ni helaza kina nani ? ni kodi zenu ndiyo shida iko wapi
 
Wala sio mabasi ya watu binafsi ayo mabasi yamenunuliwa na ccm na yalionyeshwa wakati yanatoka bandarini yakiwa yamepigwa chata kabisa ya chama cha mapinduzi,,
 
Unajua Vi Eite wewe? (kwa sauti ya Humphrey Polepole) 😂
 
Hayo ndiyo makaburi ya ccm yakiwa njiani.
 
Chama Dola hicho.

Tumeshasema humu kwamba Ccm imejimilikisha Tanzania.

Pascal Mayalla
 
Ruzuku ya Mwezi ya CCM ni zaidi ya Bil 3 wakati vyama vyote vya upinzani hata mil 150 hawapati.
 
Nasikia yapo 1000. Halafu mnaomba msaada wa vyoo kwa wajapani. Tatizo ni mzanzibar, mwanamke na hana hoja-John Heche 2025.
Kwa hapa Sa100 namtetea,misaa hiyo ya kijinga jinga ipo kabla ya Sa100........ pamoja na hayo sisiemu ina majengo inapangisha,viwanja vya mipira wanapata mgao,Ada na ruzuku so sioni kama ni story kununua mabus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…