Pre GE2025 CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona kuna chama kilinunua Ford Ranger kibao, pesa walitoa wapi?
 
Inawezekana zimechotwa kutoka NSSF?!
 
Yesu Rudi tuu kutuchukua tulio wako ,,,Mungu atasimama siku moja tuendelee kumlilia kama aliwaskia Wana wa Israel utumwani hata sisi Kuna siku atatutoa kwenye dhiki ,mateso ,mauaji,kuibiwa ,kutekwa ,tutakua huru the day is coming
 
Ulishajiuliza baada ya uchaguzi yanaendaga wap,
Kama hujui subiria kampun mya ya mabasi mwakani!
 
Ruzuku tu ya mwezi inatosha kununua hayo basi kabla kuongeza pesa za vitega uchumi vyake

Ruzuku ni kwa ajili.ya kazi za chama
 
CCM wana miradi mingi sana.
Viwanja vya mipira vingi nivyawo.
Wana hisa katika Biashara nyingi sana
 
Pale Lumumba ofisi ya ccm Kuna ma basi mapya yapo zaidi ya thelathini ambayo yamenunuliwa Kwa Kodi zetu.Nchi imeshikiliwa na washamba sana
Washamba au watoto wa mjini?

Huu Sasa ndio aina ya uongozi ambao watanzania wengi hasa wale wanajionaga wajanja waliumiss, yaani kunakuwepo na matumizi ya anasa yasiokuwa na ulazima ambapo ni watu wachache wanaonufaika, huku majority wakibaki kwenye shida na mateso.

Tukiwaambiaga hawa waswahili hawajui kuiongoza hii nchi wanachojua wao ni kula Bata tu na kutapanya pesa ovyoo muwe mnatuelewa🙂‍↕️
 
Kumbe Ina pesa za kufanya hayo yote? Ila kujenga vyoo tu huko mshuleni na kupeleka huduma ya maji kwenye vitongoji vya hapa hapa dar haiwezi hadi ipate misaada kutoka Kwa wamarekani??
 
CCM Ina rasilimali nyingi we dogo. Ht hivyo huwezi tenganisha CCM na serikali. M/kiti wao ndiye Rais wa nchi
 
Ni kweli hizo pesa ni za kodi za wananchi. Hizo pesa hutolewa CCM na pia kwa vyama vya upinzani. Hii pesa kule CHADEMA ni mali za viongozi soma Mbowe.
 
Wanaodhani hiki chama kipo kwa ajili ya Watanzania niwape pole.Ajenda kuu ya chama hiki ni KUIBIA UMMA na UCHAGUZI.Hayo ni mengine yote ni hadaa.Hiki ni Chama Cha Mashetani.
 
Wana miradi mikubwa ya maendeleo kuliko ilivyokua SUKITA

CHADOMOS mko bize na kulamba tu
 
Kuongoza Watanganyika raha kweli. Hakuna stress wala kukosa usingizi.
 
Hii kitu imenisikitisha sn
 
Nani kakudanganya Mzee ingia page za mabus utaona hizo bus zime anza kupoatiwa Toka zikiwa China mpaka Zina shushwa bandarini oder ya kijani ime Toka Moja kwa Moja China
Aiseee tuna safari ndefu sn ya maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…