Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Hiyo ni akili au matope?Mkuu naona unataka kututoa kwenye mstari, sisi kazi yetu sasa hivi ni moja tu, kumshangilia lisu anapomtukana hayati Magufuli.
Mtajaza ninyi. Sisi ndo tunakijenga chama chetu kwa njia hiyoHiyo ni akili au matope?
Hongera kwa kuanzisha chama chako kipya mkuu!Mtajaza ninyi. Sisi ndo tunakijenga chama chetu kwa njia hiyo.
Wewe ulitaka wafanyeje ili ulizike na roho yako?Mfano hili suala la akina Mzee Mdee, wanaendelea kuingia bungeni kwa kutumia jina la CDM na kukichafua chama, ni usaliti na dharau za mchana kweupe! Lakini viongozi Wa CDM wapo kimyaa, Wao busy kupambana na mtu aliyekufa. Sometimes mtu unajiuliza Hawa wapinzani tz wapo serious kweli?
Haya ndiyo mambo ambayo mleta mada kazungumza, nyinyi watu wepesi sana kuwanyooshea vidole wengine, mkiguswa nyie na majibu ya kejeli na vitu kama hivyo. Wewe hujui viongozi wako inabidi wafanye nini kuhusu hili jambo?Wewe ulitaka wafanyeje ili ulizike na roho yako?
Unaambiwa chizi akikimbia na nguo zako usimfukuze utaonekana nawewe ni chizi Ukweli Spika ndiye anaye aibika na katiba na Bibilia vinamuhukumu Duniani na MbinguniMfano hili suala la akina Mzee Mdee, wanaendelea kuingia bungeni kwa kutumia jina la CHADEMA na kukichafua chama, ni usaliti na dharau za mchana kweupe! Lakini viongozi Wa CHADEMA wapo kimyaa, Wao busy kupambana na mtu aliyekufa. Sometimes mtu unajiuliza Hawa wapinzani tz wapo serious kweli?
kumkosoa mbowe kibano chake ni sawa na ungemkosoa JPMUpinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosorewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti..
CCM has been always like thatMipasuko mikubwa CCM.
1. Team SASHA VS Team Mwendazake a.k.a Sukuma Gang
2. Darasa la Saba vs Wasomi.
Sema "kimeumanaaaaa"
Since when?CCM has been always like that
Hao wanaoparurana sasa si panya tu zilizoota sharubu baada ya paka kuondoka . hapo kaba wote hawa walikuwa wachumba tuuUpinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosorewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti....
Yote majizi ya kuraMipasuko mikubwa CCM.
1. Team SASHA VS Team Mwendazake a.k.a Sukuma Gang
2. Darasa la Saba vs Wasomi.
Sema "kimeumanaaaaa"
Na Mali ya ummaYote majizi ya kura
Since when?