Mmekuwa huru bungeni baada ya kifo cha magufuli la sivyo hadi 2025 mngeendelea na unafiki wenu, mshukuruni Mungu!Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosorewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti...
Mmekuwa huru bungeni baada ya kifo cha magufuli la sivyo hadi 2025 mngeendelea na unafiki wenu, mshukuruni Mungu!Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosorewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti...
Eeh!Sincr its birth date
nyerere vs kambona..
Tumekuwa huru akina nani?Mmekuwa huru bungeni baada ya kifo cha magufuli la sivyo hadi 2025 mngeendelea na unafiki wenu, mshukuruni Mungu!
Katika hayo makundi mawili nyie bavicha mko kundi lipi?Mipasuko mikubwa CCM.
1. Team SASHA VS Team Mwendazake a.k.a Sukuma Gang
2. Darasa la Saba vs Wasomi.
Sema "kimeumanaaaaa"
CcmTumekuwa huru akina nani?
Ccm gani?
Kwani wao kuwekana sawa mpaka kuwe na vikao vya chama?Yaani mkawekane sawa Bungeni ili kunenga chama!
Nawe unashabikia hilo?
Vikao mbalimbali vya chama vina kazi gani?
Bavicha ndio banini? Bamutu ya WATU WA Congoman?Katika hayo makundi mawili nyie bavicha mko kundi lipi?
Tatizo la upinzani Tanzania hauna Maono. Huo ndiyo ukweli wacha washangilie kifo cha Rais wakati wenzao wanajiimarishe kwa kukosoana. Hawatachukua nchi wapinzani ni wapigaji km wapigaji wengine njaa kali ref. Covid 19Mfano hili suala la akina Mzee Mdee, wanaendelea kuingia bungeni kwa kutumia jina la CDM na kukichafua chama, ni usaliti na dharau za mchana kweupe! Lakini viongozi Wa CDM wapo kimyaa, Wao busy kupambana na mtu aliyekufa. Sometimes mtu unajiuliza Hawa wapinzani tz wapo serious kweli?
Hivi wewe ndiyo umeingia Tanzania jana nini? Nani kakudanganya kuwa tanzania kuna upinzani?Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosorewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti.
Sasa hivi Ccm wanaparuana huko Bungeni ni jambo jema kwa afya ya chama chao, maana kama kuna watu walitaka kwenda nje ya mstari lazima wapewe ukweli...
Kifo kweli kiboko na hakina uoga wala ubaguzi.Mkuu naona unataka kututoa kwenye mstari, sisi kazi yetu sasa hivi ni moja tu, kumshangilia lisu anapomtukana hayati Magufuli.
Matope ndiyo urithi wa uvccmHiyo ni akili au matope?
Bashiru ameshuhudia kina msukuma na kibajaj wanavyo idharau PhD yake pale mjengoni .Tuliomba Sana na kufunga Ili Mungu awaaaibishe wale wote watakaovuruga uchaguzi mkuu 2020 Mungu kasikia kilio chetu hakika ametenda , bashiru, polepole si kitu si lolote tena juu ya uso wa nchi na hawana tena ushawishi tena.
Kwahiyo Dr Bashiru naye kanyamaza kimya pamoja na dhihaka kutoka kwa kina kibajaji na msukuma?Mipasuko mikubwa CCM.
1. Team SASHA VS Team Mwendazake a.k.a Sukuma Gang
2. Darasa la Saba vs Wasomi.
Sema "kimeumanaaaaa"
Masikini Dr Bashiru hakika analipwa kwa madhambi aliyo yafanya dhidi ya watanzania kwenye uchaguzi.Mtajaza ninyi. Sisi ndo tunakijenga chama chetu kwa njia hiyo
AmeufyataKwahiyo Dr Bashiru naye kanyamaza kimya pamoja na dhihaka kutoka kwa kina kibajaji na msukuma?
Wacha bange za chato wewe, Mdee na covid wenzake ni wabunge wa ccm na NdugayeMfano hili suala la akina Mzee Mdee, wanaendelea kuingia bungeni kwa kutumia jina la CDM na kukichafua chama, ni usaliti na dharau za mchana kweupe! Lakini viongozi Wa CDM wapo kimyaa, Wao busy kupambana na mtu aliyekufa. Sometimes mtu unajiuliza Hawa wapinzani tz wapo serious kweli?
Corona inaua sanaHaya ndiyo mambo ambayo mleta mada kazungumza, nyinyi watu wepesi sana kuwanyooshea vidole wengine, mkiguswa nyie na majibu ya kejeli na vitu kama hivyo. Wewe hujui viongozi wako inabidi wafanye nini kuhusu hili jambo?
Corona haina mchezokumkosoa mbowe kibano chake ni sawa na ungemkosoa JPM